Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inatisha kwa kweli [emoji51][emoji51][emoji51]

Waache vijana watumie mitambo bana...
Yani pesa za kununua bunduki na risasi wanazo lkn za kujinunulia vyakula hawana..

Sijui hawa jamaa huaga wanawazaga nn katika haya maisha..mtu anaweza kupiga risasi kw ajili ya mifugo
 
Inasikitisha hadi huruma, serikali yenu ifanye namna hapo amani na utulivu irudi,
Maana hadi watoto wa shule hali ni tete,
Watoto wengine wanachezea hizo silaha kama hawana akili nzur ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapo ingewekwa angalau kambi moja ya jeshi Ingependeza zaidi maana hayo maeneo ni kama serikali yenu imeyatenga na kuyatelekeza kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ