Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23]we kweli ni chizi kila siku unatoa boko
 
Kitu unachosahau ni kuwa mall ya 2 Rivers was just phase 1. There's a small city that's slowly being developed hapo and there's progress. Na pia world over things are mainly build depending on demand, economic projections and supply. Washangaa mbona The Pinnacle is being stalled? ama kwa nini wanabiashara wa mahoteli hawataki Palm Exotica ijengwe? lay men watasema Kenya is corrupt. Jengeni malls kabisa if you need themna kama they're viable.
 
Dar tumewaambia ipambane na Mombasa. They're both economically na geographically similar. Dar ni district moja ndogo sana ya Nairobi. Hizo gorofa nne ndizo zimewapatia hadhi kidogo lakini bado nyie na Mombasa hamjaachana.
Mwakani siyo mbali msije sema watz atukuwaambieni mapema miradi yetu 3000 itakuwa imdkamilika kati ya elfu3600 kazi itakuwa kuzindua tu na hela kuelekezwa kwenye miradi mipya
Sijui kama Kenya mtapita salama kwenye uchaguzi wenu 2022 maana mtakuwa na uchungu na viongozi wenu sababu ya maendeleo ya Tanzania.
 
Sio kwamba ninasahau, I just don't give a damn about what you do. I never stick my nose into your business, all I do is post stuff about my country and that's it, if any of your minions come in my way, I reprimand them and deal with them effectively. Tanzania was a sleeping giant, I'm not even going to disagree with this fact because it's true, but now we woke up and for just a few years we have done decades worth of work towards development. So, yes, we are going to build. We are going to become great again.
 
Kwa kasi hii ya Magufuli, Wakikuyu kazi mnaya 2022 maana hadi 2022 kq itakuwa ishakufa kwa sababi ya airtanzania na mambo mengi sana yatatokea Tanzania against kenya
ujinga mko nayo ni mbaya sana, wataka tulete ocean Nairobi?
 
una upuzi, sasa Theme park ni nini? very petty argument. Kitu haiezi garimu hata $2M unauliza hapa kama iko Nairobi? kama uko curious enda pale Google just search theme park Nairobi and you'll be surprised. Pelekeni huo ujinga huko Mombasa
Mbona haipo sasa nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So you say Morgan! You know what I think? I think you are light years behind us mate.
Kama itakupa amani basi tuko nyuma, ni poa kushabikia nchi yako lakini pia kufikiria muhimu. Nikama Nairobi kuenda kubishana na Jo' Burg ama Cairo. Kuna waKenya hujaribu hiyo lakini ni ujinga tu. Tunajua tunazo gorofa na bara bara lakini on wealth we're miles apart. If they're wealthy, then expect them to have more developments to match that wealth. At the same time there will be poor people coz wealth as we know it, is never fairly distributed. It's that simple. Some little economics knowledge can give you some peace bro. Two Rivers master plan ndio hii. On the ground developments zinaendelea kwa kasi yake tu
 
Kwa kasi hii ya magufuli ....wakikuyu kazi mnaya 2022 maana hadi 2022 kq itakuwa ishakufa kwa sababi ya airtanzania na mambo mengi sana yatatokea Tanzania against kenya
Maono ni muhimu, na pia tunawatakia mazuri. Wewe pia wakati Tz inasonga I hope unasonga nayo.
 
For the millionth time, I DO NOT GIVE A DAMN ABOUT WHAT YOU DO! Ni nyie na ujinga wenu ndio mnakuja kutuambia kwa et hatuna bowling na ice skating venues. This is crazy. I have lived in the west and yes, the level of development here is still low, but I celebrate the efforts made by my country and if Lagos and Cairo are both better than us so what? We are trying our best. They also didn't start off wealthy did they? They started small and worked their way up, that's exactly what we are doing.
 
Utalia hadi ukufe. CBK is 30 floor building.
 
Mbona haipo sasa nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilitaka ku ignore lakini I'd be doing some injustice to this world if I let this ignorance unchecked. Nairobi is not a city designed for leisure but business. Leisure in Nairobi ni mostly indoors na usiku kama clubs. Ukitaka leisure, nenda Mombasa. It's only recently that I've started seeing Nairobians embracing outdoor activities. Kwanza they rarely do outdoors kama swimming etc coz of the cold weather. Our challenges demand different approaches kama hizi

The world renowned Magic Planet at two rivers.

One of the many funscapes shops in Nairobi

The Hub has several indoor theme parks

 
Kawaida yenu kujitutumua kwa vitu ambavyo hamuwez ku afford matokeo yake mmeuza nchi kwa upuuzi wa kupenda sifa za kijinga
 
Wanatamani kukuambia uweke na link [emoji23][emoji23]
 
Kumbe mombasa kuna wajinga eehh
una upuzi, sasa Theme park ni nini? very petty argument. Kitu haiezi garimu hata $2M unauliza hapa kama iko Nairobi? kama uko curious enda pale Google just search theme park Nairobi and you'll be surprised. Pelekeni huo ujinga huko Mombasa
 
Moi Kasarani, 60k capacity, was built in the 80s and it's still a beauty besides vandalism na mismanagement. Waona tumekosa $100m kujenga ingine? we can't even fill what we have. Our priorities are very different. Ndio nasisitiza hii battle pelekeni Mombasa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…