Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
LOL ulisema hakuna Muhindi kwenye uchumi wenu, wewe ndio umeshindwa mnawakwepaje wahindi wakati ndio wenye mabenki na makampuni makubwa huko tena on top of that na wazungu wapo wenye mashamba makubwa ya avos, chai na mauaThat's means you can't support your claim