The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Wao waache wakomae na Nairoba pekee cc tunaifumua nchi nzima na rais alishasema tukishafika kwny middle income economy bac ata maisha ya watu yaonekane kweli yanafanana na middle income na co middle income ya kwny makaratasi tu, infact tumedhamiria kuwa nchi ya mfano Afrika
Cape town fish market is my favorite hang out
😂 😂 😂 Are those cables part of structural engineering ama ni madoido tu?
Wapi ur madoido? Never built Likoni bridge? 🤣 🤣😂 😂 😂 Are those cables part of structural engineering ama ni madoido tu?
Cape town fish market is my favorite hang out
Jibu swali kijana wacha kuweweseka. Are those cables part of structural engineering kwenye hiyo footbridge? What are they anchoring? Ama Mwenzako alitaka tu tujue that finally Dar has footbridges!!! 😂 😂Wapi ur madoido? Never built Likoni bridge? 🤣 🤣
Foot bridge ziko nyingi Tanzania if I recall Manzese footbridge was during Mkapa's era!Jibu swali kijana wacha kuweweseka. Are those cables part of structural engineering kwenye hiyo footbridge? What are they anchoring? Ama Mwenzako alitaka tu tujue that finally Dar has footbridges!!! 😂 😂
Hii maneno itakamilika lini? Mpaka inaboa!SONGWE AIRPORT in MbeyaView attachment 1262616
Sina swali ila mbona mwenzako aliuliza swali la kijinga hivyo kuhusu hiyo footbridge?ni madoido, what is the next question?
NB: kazi ya wanajeshi hio TPDF
There's a time mlikuwa mkihesabu footbridges za Dar kwenye huu uzi na hazikufika hata kumi. Sasa sehemu zingine za Tanzania zitakuwaje nyingi wakati Dar, your main city, ndio ziko chache?Foot bridge ziko nyingi Tanzania if I recall Manzese footbridge was during Mkapa's era!
Footbridge nyingi Ni mapambo au?There's a time mlikuwa mkihesabu footbridges za Dar kwenye huu uzi na hazikufika hata kumi. Sasa sehemu zingine za Tanzania zitakuwaje nyingi wakati Dar, your main city, ndio ziko chache?
kweli mkuu nilijatibu kufuatilia wakati nipo mbeya ,,,ila sikupata jibu kamili dizain kama wapo chini ya kapet sanaHii maneno itakamilika lini? Mpaka inaboa!
Maybe huko bongo kwa sababu naona mnaweka hadi cables zisizokuwa na maana wowoteFootbridge nyingi Ni mapambo au?
Hebu leta footbridge zenu tuone zinakaa vitu za Gikomba!Maybe huko bongo kwa sababu naona mnaweka hadi cables zisizokuwa na maana wowote
Hizo zimeletwa nyingi sana hapa. Pekua kurasa za nyuma utaziona. Thika road stretch alone has close to 20 of themHebu leta footbridge zenu tuone zinakaa vitu za Gikomba!