Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini bado still utalii unaeza kutupa wateja kwenye international routes hope tutafanya vzr inshallah🤝🤝🤝
 
Hilo unaongea ni la maana sana....ila ki ukweli ATC waingie kwenye Cargo Bussiness hili soko litawalipa sana ..hasa kwa ku export mazao yetu nje
Holticultrure inaweza kuingiza foreign currency almost sawa na toursim ila tumelala bado ..na huo ni ukweli

1.Horticulture ina potential ya kutupa 1Bn usd in our economy
2.Fish and Fish processing angalau hata 500mil usd
3.Exports ya Honey.wine,Cotton na cofee hizo zote zinatupa pesa ya kutosha

Serikali iwavutie wawekezaji zaidi wa nje na wandani hasa kuwapa elimu vijana kuhus sector hizi ..na kuwawezesha...then after 3years tu order Airbus A330 2 cargo planes na B777F moja za mizigo ...tu expand cargo terminals za Mwanza Mbeya , Kia na Dar ..tu export vitu vyetu
 
Lakini bado still utalii unaeza kutupa wateja kwenye international routes hope tutafanya vzr inshallah🤝🤝🤝
Yes ni kweli tukiwa na startegic plan nzur...tunapokea tourist 1.5mil wakat tuna potential ya hata 5mil
..plan ni kufika 2m tourist by 2025 which is possible...maana ake hapo umeongeza seats laki 3-4 za ndege ATC tutapata share hapo
 
As Women are frequently harassed and Raped by the Matatu Hawkers and Cartels in Matatu trap in Nairobi The terrorism hotbed,

This is the Milestone that Dar has set for the past 5 years
and The lesson is those who initiate the Change always take the Leadership. I here humbly invite Kunyans from Banana Republic to come get Lessons for free.
 
Hilo ni jambo la msingi sana, route za Dar-Mwnz, Dar-Bkb, Dar-Kgm, Dar-Dom, Dar-Kia, Dar-Songwe, Dar-Znz. Zinalipa sana, kwa E.A hamna nchi ambayo ina soko safi la ndani kama Tz. Nchi ina International airports 5 ya 6 na 7 zipo mbioni (Msalato na Chato). Hizi za kawaida Magu anazifyatua kama matofali. In the near future route za Dom to and from Mwnz, Znz and Kia zitaongeza kitu pia. Huwaga nawaonea huruma Rwanda, hawana kabisa soko la ndani, Ug na yeye sioni kabisa ata airports ni tabu.
 
Wenyewe huwa wanasema They will never buy food from Tz [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…