Airtime kiasi gani?
Tsh 2300 inaweza fanya mambo mengi,
2300 naweza nunua bundles kibao
2300 naweza kula kwa mama ntilie nikala nikashiba na chenchi ikabaki,
2300 yaani ni mambo kibao.
Nimempa mifano hapo juu ya nguvu ya tsh 2300.
Stability ni kitu tofauti...it means tumeweza ku maintain..nyie kuwa negative kwa % 1 ina affect sana mkenya wa huko.... sio swala la ku compare na Tz ..Stable at the bottom.
Ksh 1 = Tsh 22
USD 1 = Tsh 2,302
Kwani nani kasema hakuna mama ntilieCredo ya 20..
Akili zako wewe mgando sana..kwn hku ndiko hakuna mama nitilie
Stability ni kitu tofauti...it means tumeweza ku maintain..nyie kuwa negative kwa % 1 ina affect sana mkenya wa huko.... sio swala la ku compare na Tz ..
Nakumbuka . mwaka huu huu ksh ilikuwa ina trade 1 usd 99ksh-100ksh now iko 103.5ksh ..in short mko volatile sana
It's not a bad thing kwa currency kuwa undervalued. Bwana wenu China anashusha thamani ya Yuan deliberately kufanya exports zake ziwe cheap kwenye global market na ndio maana Marekani iko kwenye trade war na China. Our currency is stable, haifluctuate na hivyo inflation kwetu tunasikia tu kwenye taarifa ya habari na hata hii hali ni nzuri kwa trade.
Haya sasa Twende kwenye nguvu ya kununua kitu,
Ksh 22 inaweza kununua nini hapo?
You didn't answer what i asked you.A better life.
The more developed a country is, the more you pay to maintain your standard of living.
That's a very simple question kijana wa tandale. It's not about the content but the source of that content. Again, who is Mila?Soma content iliowekwa hapo😁😁😁
Tsh 2,302 is equivalent to ksh 100. Who told you I can't enjoy a meal at mama ntilie with a 100 bob hadi nibakishe change ya airtime?Airtime kiasi gani?
Tsh 2300 inaweza fanya mambo mengi,
2300 naweza nunua bundles kibao
2300 naweza kula kwa mama ntilie nikala nikashiba na chenchi ikabaki,
2300 yaani ni mambo kibao.
That is what what these "economists" don't understand. They are making comparisons with China and they forget that china in an exporting country that reaps big in this setupYour currency has been stable at the bottom for a few weeks only.
Tukiangalia graph ya mwaka, one of the most volatile in Africa.
Alafu, a weak currency favors heavily industrialised exporters like China, not LDC importers like Tanzania.
With your weak currency, you will still have to pay for oil in dollars.
Kwani nani kasema hakuna mama ntilie
Tsh 2,302 is equivalent to ksh 100. Who told you I can't enjoy a meal at mama ntilie with a 100 bob hadi nibakishe change ya airtime?
Hakuna aliebisha bandugu,Tsh 2,302 is equivalent to ksh 100. Who told you I can't enjoy a meal at mama ntilie with a 100 bob hadi nibakishe change ya airtime?
Hivi kuna aliye bisha au ni kiswahili kimekuwa lugha ngumu?Achana naye hyo, huoni hta sikujisumbua kumueleza mm...ksh 100 si unakula vibandani na unashiba na unabakiza hela ya credo
I think kuna tatizo ndani ya akili yapo,Bro una matatizo sana wewe...
Unajitahidi kukwepa ukweli lakini huwezi trust me😁😁😁😁😁That's a very simple question kijana wa tandale. It's not about the content but the source of that content. Again, who is Mila?
So hiyo picha inayoonesha mtoto anakunywa maji machafu sio kakamegaIf you do some simple Google Search on kakamega, you'll find out that it's one of the areas in Kenya that receive rainfall throughout the year. It also home to the famous Kakamega Forest, the only remnant of the tropical rainforest that stretched across central Africa. This shows that water is not a problem here cause it rains a lot in kakamega. Kakamega can lack any other thing but not water for her people