Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,735
haki hii interchange ipo wierd mbona wamechukua nafasi kubwa namna hii? wasiweke level mbili?Huwa mnasema we brag about Thika Road, hii Outer-ring road leading to Eastlands pia issa beauty.
View attachment 1234252
jamani tuonyeshe ya Dar we learn from you. Mji mkubwa kabisa Afrika mashariki na ya kati. Mji mdogo kama Nairobi unaeza faidika na mawaidha na expereince yenu kwa ujenzi wa barabaraWakenya hiyo calavert mnaiita flyover, smh
its cheaper to make the ramps that way because that is enough road reserve. Otherwise in a developed place that was not reserved, double or even more deckers could've been usedhaki hii interchange ipo wierd mbona wamechukua nafasi kubwa namna hii? wasiweke level mbili?
Kweli bado twajifunza kujenga flyovers. Nimetembea kwote Afrika na naweza sema Nairobi iko nyuma sana kwa ujenzi wa bara bara. Nimekutana na nzuri zaidi zenye urefu zaidi kule Dar ambazo naelezewa zilijengwa miaka ya kaleWakenya hiyo calavert mnaiita flyover, smh
Hahaa.. wewe utakuwa wardo (warden) wa Machakos High. Nenda kazime taa kwa dormitory watoi walale, muda wa prep ume murder[emoji38][emoji38]Yes, that alarm was set to remind you to shut the hell up and deal with your LDC problems [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Actually bakhresa is not an Indian at all, he is an african of Zanzibarian descentView attachment 1233978
Sikuenda shule, please enlighten me🤔Hakuna kitu km zanzibarian descent jomba...rudi shule tena
Na haturingi hata 😊😊😊
Huenda zimechaka lakini hazifikii uchakavu wa hizi dream houses. Hizi ziiko level nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]hizo viruses house pembeni zimechakaa mbaya
watu dizain hio wa ujuaji wa namna hio huwa mara nying ni mambumbu... they just trying to fit in and be seen as educated in the intellectual world!
NB: hajatajwa mtu lkn hilo povu litakalokuja sasa [emoji23]
Whatever lakini kwenye viwanda vyake ananunua matunda kutoka Tanzania nenda kwenye viwanda vyake uone idadi ya magari kwa mamia yakishusha matunda kutoka shambani, analipa kodi na anatoa ajira, nini kingine unataka?Hakuna kitu km zanzibarian descent jomba...rudi shule tena
Inaelekea unamjua sana huyu jamaa. Hebu tuambie, huyu jamaa ni wa nchi gani?Hakuna kitu km zanzibarian descent jomba...rudi shule tena
Inaonesha ni jinsi gani hawa jamaa ni wabaguzi, ingekuwa wao hata wangoni wangetengwa. Utaifa wa mtu haujaji origin ila contribution yake kwa jamii. No wonder wamekua wakipambana Obama aonekane ni mkenya wakati tayani ni muamerikaWhatever lakini kwenye viwanda vyake ananunua matunda kutoka Tanzania nenda kwenye viwanda vyake uone idadi ya magari kwa mamia yakishusha matunda kutoka shambani, analipa kodi na anatoa ajira, nini kingine unataka?
We hamnazo kabisa
The monkey will always be a monkey 🦍🦍🦍🦍🦍🐒🐒🐒🐵🐵Inaonesha ni jinsi gani hawa jamaa ni wabaguzi, ingekuwa wao hata wangoni wangetengwa. Utaifa wa mtu haujaji origin ila contribution yake kwa jamii. No wonder wamekua wakipambana Obama aonekane ni mkenya wakati tayani ni muamerika
mchanganya mafolder.......endelea kujifurahishaHuenda zimechaka lakini hazifikii uchakavu wa hizi dream houses. Hizi ziiko level nyingine
View attachment 1234484View attachment 1234485View attachment 1234486View attachment 1234494View attachment 1234496
"Utaifa wa mtu haujali origin ila contribution yake..." wacha tu ninyamazie hapo kwa sababu this is only important to Tanzania and not Kenya. Ingekuwa ni Kenya ingesemekana vile uchumi inamilikiwa na watu wasiokuwa na roots za kikenya. It's a free world, anyone can say anything as long as it suits their argumentInaonesha ni jinsi gani hawa jamaa ni wabaguzi, ingekuwa wao hata wangoni wangetengwa. Utaifa wa mtu haujaji origin ila contribution yake kwa jamii. No wonder wamekua wakipambana Obama aonekane ni mkenya wakati tayani ni muamerika
Do you know what a folder is?mchanganya mafolder.......endelea kujifurahisha