Wataka nikuletee picha za wanaoishi kando ya River Msimbazi ama hizo utasema pia ni za biashara?
View attachment 1227699View attachment 1227702
Hizo sio slums bali ziko unplanned.yani njoo na pic ambayo inaonesha slums kama za kibera au mathare ukizipata utakuwa mshindi
Hizo sio slums bali ziko unplanned.yani njoo na pic ambayo inaonesha slums kama za kibera au mathare ukizipata utakuwa mshindi
Ninyi ndo mliosema kuwa ni slums au unajitoa ufahamu hujui hata ulichokiandika pole sanaAlosema ni slum nani? Mbona unajishuku na hizo ni dream houses? [emoji23]
Ninyi ndo mliosema kuwa ni slums au unajitoa ufahamu hujui hata ulichokiandika pole sanaAlosema ni slum nani? Mbona unajishuku na hizo ni dream houses? [emoji23]
Kidogo niwainue hadhi eti iko karibu kufanana na sections za Mombasa Road lakini kumbe slums, sorry, unplanned dream houses, zimefichwa 🤣 🤣This is the hell behind those shiny kijiko na nyama buildings 😂 😂
View attachment 1227826
Na hili jiji la dodoma kwa kipindi ya miaka michache inaweza ikaipita jiji la nairobi linakuja kwa kasi ya 4gWe Don’t only Build Dar,
Enjoy the Beauty of Dodoma, The Capital of Tz
View attachment 1227888View attachment 1227892View attachment 1227893
[/QUOTE]Weee jama wewe😂😂😂😂😂😂😂 kibera ana afford kuu kaa tegeta??😂😂😂😂 yani wakenya mna ndoto zenu wenyewe embu paonene tegeta 👇🏽... sio tegeta naijua mimi.. sio wale wanao kaa kwenye mabati yale 😂😂😂😂😂😂 we jama wewe... Nicxie kaa kutuma nini 😂😂 na hao wote unao waona ni private homes.. and their own land..😂😂 that’s how rich we are
View attachment 1227346View attachment 1227346
Tena mbezi ndo wala hutakiwi kuitaja.., hakuna mtu wa anaeishi kwenye apartment apo kenya anaweza kupa affords huku 👇🏽👇🏽👇🏽.. wakenya bwana 😂😂😂 mna nifuraishaga sana 👇🏽👇🏽👇🏽
View attachment 1227350View attachment 1227355
😂😂😂😂😂😂😂😂 you fulls y’all just don’t know what you messing with.. na I dare you kunitumia sehemu apo Nairobi ambapo unapa a lot of individuals house nyingi namna hiyo.. na apo ata sijaenda pande za masaki huko.. na oysterbay
Hamjajenga Dar a already mnakimbia, hizi zimejaa Kenya, na ziko fully occupied, hakuna kitu kigeni hapaWe Don’t only Build Dar,
Enjoy the Beauty of Dodoma, The Capital of Tz
View attachment 1227888View attachment 1227892View attachment 1227893
mnapenda uchokozi kweli, hiyo Dodoma kwanza ikabishane na Eldoret before hata Nakuru 🤣🤣Na hili jiji la dodoma kwa kipindi ya miaka michache inaweza ikaipita jiji la nairobi linakuja kwa kasi ya 4g
nikujibu kweli hilo swali?By the way, In your Opinion What is Serikali?
Kibera is just 2.5 square kilometres. A very small area. But to these bongolalas, such a small area can actually accommodate 2.5 million people! That's a population density of 1 million people per square kilometre! Well, kibera people must be alliens, they are not from this planet and that's why they can fit in such a small area 😂 😂stats za NGO wanaopora wazungu kibera has less than 250k people , 250k being the highest
nikujibu kweli hilo swali?
unplanned residential houses ni nini kama sio slum?[/QUOTE]Can not compare house ya kibera au mathare dhd ya nyumba za dar ziko tofauti kabisaNinyi ndo mliosema kuwa ni slums au unajitoa ufahamu hujui hata ulichokiandika pole sana
how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?Because you try to think you can differentiate The Government of Tanzania and Tanzanians. Unaita majengo ya Serikali, you forget to write the Whole sentence.. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aya wewe subiria tu husiwe na paparamnapenda uchokozi kweli, hiyo Dodoma kwanza ikabishane na Eldoret before hata Nakuru [emoji1787][emoji1787]
Huyu mwelewe tu. Leo ndo amegundua mahali emoji hukuaga kwa interface ya JF. Wacha mtoto ajifurahishe kidogo na emoji, atachoka tuMi mjinga naeza kuback my arguments with numbers and photos. Mwerevu wewe ni vicheko vya kitoto. Huo sio ujinga? ama huelewi maana ya ujinga?
Can not compare house ya kibera au mathare dhd ya nyumba za dar ziko tofauti kabisaunplanned residential houses ni nini kama sio slum?
Kuna wakati walikana sana eti hii si picha ya Dar. Denial is in their bloodThe most accurate representation of Dar. More than 70% still in slums. Typical of LDCs
View attachment 1227719