Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakuuma sana ukiletewa picha za chini coz unajua we are much better than your slums. Wew leta hiz picha za juu utakavyo lakn tz hakuna slums na watu wanaishi
Umesoma anywhere nimetype kuwa kuna slum Tz? [emoji23]
 
Umesoma anywhere nimetype kuwa kuna slum Tz? [emoji23]View attachment 1224425

Itโ€™s fucking Wikipedia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ any body can write what ever he wants. hiyo na huwakika ni mkenya kaandika... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. it โ€œ the poorer residents crowd into downtown area or large slumsโ€ it doesnโ€™t even make sense ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. yani na uwakika mtu aliye andika hiyo ni mkenya
 
Ukisikia wachawi ndio hawa, achana nao yaani mtu anaenda kujisumbua kila mahali kwenye mitandao ili tu Tanzania ionekane hovyo. jamani wakenya sio sisi tuliowatangazia kuhusu slums bali ni wazungu wenu ndio wanawatangazia hivyo nendeni mkawaandikie hao sio kuja kutuchafua sie huku ambao hata hatuna mda na nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ