Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watakuambia wamechora michora[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata a dress ya aliyechora mchoro ipo mtaa wa Mafinga kinondoni Dar , Anyway , Kuna kampuni 12 zimehusika kukamilisha hilo jengo , lakini mtu kakomalia katujengea Kenya ndio imetujengea. Structural engineer, quantity surveyor etc hawajafanya chochote Au sio muhimu hivyo vingefanywa na K&M.

 

[emoji23][emoji23] katika maneno Mia (100) ya mkenya, chukua neno moja tu ambalo hapo bado utakuwa umemuhurumia kumsikiliza [emoji23][emoji23]
 
Look who's trying to be a hero here, I wasn't trying to be funny. You have an imagination of a small child, you should get over yourself.
Your engagement is reductio ad absurdum which basically means a logical fallacy to extend someone’s argument to ridiculous proportion and criticizing the results...I will just let it sink to avoid being infected with idiocy.
 
Your engagement is reductio ad absurdum which basically means a logical fallacy to extend someone’s argument to ridiculous proportion and criticizing the results...I will just let it sink to avoid being infected with idiocy.
you let it sink in because it's the truth and not otherwise
 
Nmeona pia NHC wanajenga South zone referral hospital Mtwara..nmefurahi sana kwa sababu south zone na western zone zilikuwa zimekosa big referral hospitals ..sasa bado Kigoma refferal zonal hospital

Dar ..Muhimibili Natioanl plus Eastern zone
Central zone..Benjamin Mkapa Dodoma
Northern zone Kcmc Moshi
Lake Zone- Bugando Hospital
South western- Mbeya Referral
 
Tumbi regional referral hospital
Ifakara referral hospital

And plenty more
 
K&M Archplans is a Kenyan company with operations in Tanzania. They have done many projects in Tanzania so this is not even the first one
 
Mnapenda ubishi bila kuwa na uelewa wa mambo. This is a Kenyan company run by Kenyans
 
Mnapenda ubishi bila kuwa na uelewa wa mambo. This is a Kenyan company run by Kenyans
View attachment 1224052

Hakuna aliyebisha kwamba hiyo sio Kenyan Company ambayo ina operations zake pia Bongo kama address inavyoonyesha. Issue ni kwamba katika hilo bango kuna kampuni 12 kila moja ina contract yake pale , lakini wewe unasema ni Architect tu ndio kila kitu hapo. Ukaendelea kutuelimisha difference Kati ya architect na Construction.
Yote hayo Ni ku single out a Kenyan company kuwa superior kuliko wote hapo. Basi Sawa tumekuelewa [emoji23].

 
Achana na fala huyo! K&M Archplan is a company founded by Kenyan but has partners too including one that manages K&M Archplan (T) Ltd!
 





 

Attachments

  • 1570268018356.png
    165 KB · Views: 28
  • 1570268052013.png
    165 KB · Views: 24
Mimi nilisema hivyo?? 😂 😂 Hebu screenshot mahali mimi nilisema hayo maneno yote. What I said is that A&M Archplans designed the building, which is a fact. Mbona unaweka maneno kinywani mwangu?
 
Achana na fala huyo! K&M Archplan is a company founded by Kenyan but has partners too including one that manages K&M Archplan (T) Ltd!
It just has an office in Dar, just like any other company or business would. They are not partnering with any company in Dar or Tanzania in general
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…