Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta habari Kwa wakenya wenzako walio ishi daf Kwa muda mrefu uwaulize tofauti ya maisha Dar na Nairobi
Masikini wa Dar na Masikini wa nairobi
I don't need all that. There are more millionaires in Nairobi than Dar, the number of the middle class is bigger in Nairobi than Dar andso on and do forth. That should tell you something. Pengine wewe pia unafaa kuuliza watanzania wenzako waliowahi ishi Nairobi. They'll tell you a thing or two
 
Unathani umeongea cha maana mwenye 😂 .. google haioneshi current photo maps, zinakuaga update nathani after six months kama sio a year .. we jama nisha kuambiaga achaga uwongo
Am glad you knew that, most Tanzanians don't even know that. So let's assume the last update was done in April, does it mean that within those six months, Dar es salaam nzima nyumba zinabomolewa zote na kujengwa upya? Danganya mtoto, sio watu wazima kama sisi. Hizo picha zinaonyesha uhalisia wa Dar
 
Mbwa ni wewe anayekula matapishi yake 😂 😂 😂
 
Ni TPA , Kuna details za wahusika wote waliosimamisha huo mjengo hapo. Kuna madai kuwa wakuu wa kaskanizini ndio wametujengea.
TPA was designed in Kenya. A Kenyan company did every little aspect of designing that tower. Designing and building are two different things, unless you can't differentiate between the two
 
Revenue collected in the preceding year was Ksh. 1.44trillion~Tsh. 32trillion . That is before before appropriations in Aid and other sources like loans to hit the total budget.
Budget was Ksh. 3 trillion~ Tsh. 66 trillion
Hii pesa yote mnapeleka wapi jamani[emoji849][emoji849][emoji849].

Maana haileti maana hata kusema watu wanaiba.wanaibaje pesa yote hiyo!!
 
Naona uko bored unatafuta conversation na mimi, but ooops! I won't give you any attention.
Really!!! You mention my name in a post that does not even concern me then here you are saying I need your attention. Mbwa mzee wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…