Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ya ki-ulaya, skip hadi 0.38. Hapa ni dakika tano toka CBD, waeza tembea kwa miguu pia
 
Haha, that before it was launched. You just have to find something negative. Sai hata hamna nafasi ya kupiga picha
kwani tumekataza picha za watu wengi humu[emoji1][emoji1]
 
Lakini cha muhimu remember cities grow while others fail and others just stay stagnant. Kenya was richer than Singapore at one time but look at Singapore right now. Also, it is only by luck that others live in Dar, NYC, Dubai or Nairobi. Hakuna aliye chagua mahali atazaliwa. Again, you might live in these cities and the only thing you enjoy is the smooth roads while your quality of life is deplorable. Dar mji mzuri and its beautiful. Tufanye hima ndugu zetu, tuwe na umoja, let's celebrate each others growth because we're intertwined like twins. Mmoja akianguka, atavuta mwingine.
 
Huko juu ulikua unaongea ugali wa chumvi unachovya kwenye uji na kubugia, lakn hapa ndo umeongea wali maharage wa nazi na samaki pembeni, pilipili kwa mbaali, kachumbari na beseni la maji baridi. Hii ndo point ya kuongea, nashangaa eti Dar vs Nai afu kumbe kote ni kubovu ukilinganisha na ulaya, lakn pia kote ni kutam ukilinganisha kwa hapa africa. Huwez skia dar vs kampala or nairob vs kampala or dar, nairob vs addis ababa, its always dar vs nai coz ndo majiji makubwa east africa, ni bora kujitambia kwa hili kuliko kubishana pumba.
 
I fully support you on this. East Africa is literally the fastest growing economic region in Africa and there is absolutely no point in competing with each other while we know that we are still far behind compared to other places like Asia. We should work together, support each other, and criticize each other as we are destined to unite eventually.
 
On education centers, let's focus on universities because high schools and primaries hatuezi kumaliza.
University of Nairobi


Kenyatta University


Hizo BRT mnasema bado ziko hapa. Only within the KU Campus







The United States International University Kenya



Strathmore Business School







JKUAT




Daystar




Niendelee??
 

Attachments

  • KU brt.jpg
    89.4 KB · Views: 30
Bado tuko nyuma, a big number of our population still poor. We are still killing each other over politicians. No jobs for our youth and bad public services are the order of the day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…