Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Look at you now, you are losing it. Eti where do Kenyans get the money to buy an apartment? 😂 😂 😂. Like seriously!!!
That is like asking where do Kenyans get the money to build houses and homes they live in in urban and rural areas. Wewe ni kama umeshakunywa konyagi chupa kadhaa. Kojoa ulale
 

Tf! We unanionesha bei za nini? Ni sawa na Mimi nikulete apartment za upanga afu nikuoneshe bei zake..😂 we jama niaje aisee.. sikuelewi! Na hizo bei sio kwamba wakenya ndo wana nunua wao. Wageni ndo wanunuzi wengi. We mkenya wa kulipwa unatoa wapi spare Kshs 20,000,000. Embu kua makini wewe. Afu acha uwongo 😂
 

Apa naongelea Kenyans weusi 😂.. sio wazungu walio vamia na kuwabebea land zenu. We muajiriwa lini ukawa na hela 😂. We jifariji apo lakini ukweli upo pale pale
 
Apa naongelea Kenyans weusi 😂.. sio wazungu walio vamia na kuwabebea land zenu. We muajiriwa lini ukawa na hela 😂. We jifariji apo lakini ukweli upo pale pale
Kwanza ilikuwa eti hakuna apartments za kuuza Nairobi, eti zote ni za kukodisha. After nimekupa za uso, story ilibadilika eti wakenya hawana uwezo wa kununua nyumba. Sasa tena imekuwa wakenya weusi 😂 😂 😂
You are just a typical bongolala, just like your fellows here. You have nothing to show in your shitty city mlichabaki kufanya ni kutoa vitu vichwani na kuleta hapa... Haya basi leta kipya. Story ya apartments za kununua tumemalizana nayo
 
Zile apartment za nyumba za mabati pale kibera uwa manauziana kwa ksh ngapi?
 
Hizo zinamilikiwa na Nigerians
 
Hizo zinamilikiwa na Nigerians
😂 😂 😂 Nigerians do not own a damn thing in Kenya, not just Nairobi. Tell me any company or business in Kenya owned by Nigerians apart from Dangote. Hao ni wakora tu, nothing much
 
Ni sawa kijana wa tandale, wakenya hawana uwezo wa kununua. Ubaya ni kwamba unacomment with a lot of emotions. Ingekuwa vizuri Kama ungeleta dhibitisho kwamba wakenya wengi hawana uwezo wa kununua nyumba. Do you remember where you started from? Kwanza ilikuwa eti hakuna apartments za kununua Nairobi, sasa imegeuka tena eti hizo apartments wakenya hawawezi nunua. Utasumbuka Sana ila number mtazidi kusoma watoto wa sisiemu
 

Kasome vizuri nilicho andika... sijasema hakuna apartment za kununua nimesema kujisifia kua na apartment is not something to be proud of.. Own your own shit. Na I’m still standing on point.. real Kenyans a broke to own an apartment.. deal with it my brother 😂.. haiwezi .. na upunguze uwongo
 
Zile apartment za nyumba za mabati pale kibera uwa manauziana kwa ksh ngapi?
Before I answer that question, tell me how much it costs to own one of these lovely dream houses in these wonderful middle income estates 😂 😂
 

And something else, it’s not that serious for me.. I’m just enjoying the thread. Na nina malizia tena kwa kusema, most of the Kenyans are “BROKE” and they can’t do nothing about it. Usitudanganye kabisa. Every body knows that
 
​

Mbona ukana maneno yako mwenyewe? Angalia ulichokiandika hapo juu, the highlighted part. Mtasumbuka sana
 
​

Mbona ukana maneno yako mwenyewe? Angalia ulichokiandika hapo juu, the highlighted part. Mtasumbuka sana
 
They cost more than what you have bro ✊🏽.. they got land. What you have?
I got brains that you don't have. That brain I got can't allow me to call those aqualors dream houses 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…