Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nyie mngekuwa na vitu vya kuonesha mbona mnarudia rudia picha zile zile kila siku [emoji23][emoji23][emoji23] mkichange kidogo ni filters tu.
Wewe leta picha za kibera wacha longolongo
 
Hawa wanaogopa kupga aerial view mana nairobi ni mbaya. Wanafananisha kkoo na vijumba vya watu vya kuishi. Hawawez leta aerial view wataleta picha moja moja kutudanganya hapa, na wakileta aerial view bas ni usiku na mapodapoda kibao. Wakat pcha za nairobi tunazo. Hamna kitu pale mzee baba
Alafu mbona wana rudia rudia picha hizo hizo kila siku [emoji23][emoji23][emoji23] au wameishiwa.
 
Yajayo yanafurahisha[emoji23][emoji23][emoji23] Kila kona ya nchi kuna miradi mikubwa inaendelea...Magufuli atawale miaka 20...
#TUNATEKELEZA waowana #TETA
Aahahahaa mbna kazi wanayo, kama hawatupendi bado tutawatia sindano hadi watuelewe
 
Hawa niwachumba wetu muda mrefu sanaaaa😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simu yako kila wakati alarm iko on! Wewe ni watchman..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…