Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we mshamba kweli
 
I hope umetosheka sasa, nilikushow ni wengi. View attachment 510506 View attachment 510507
inaonekana huyo Edith kimani ndio icon wenyu kwa sasa.

bado hajamfikia salim kikeke kwa umaarufu.she has to pull up her socks.

let's compere their number of followers in twitter,Instagram and Facebook.

salim kikeke in Facebook.


salim kikeke in Instagram.


salim kikeke in Twitter.


edith kimani in Instagram.


Edith kimani in Facebook.


Edith kimani in Twitter.
.

so the winner is....a Tanzanian BBC Swahili news anchor Salim Kikeke.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ikikam kwa jonalism wachia wazito msee
Umekurupuka kijana wa kijaruo.hii ndio shida ya kutafuna miraa bila kula.

hatuzungumzii local journalist who work in kenya media houses.

tunazungumzia Kenyan journalist who work in international scene the like of BBC,CNN and aljazeera.

ojey embu elimisha hii jaruo.SMH.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa unaanza kujivunia stations zingine before za kwenu....sasa kama Larry madowo ako na followers wengi kumshinda na ako kenya? Iyo ni aibu gani
 
Sasa unaanza kujivunia stations zingine before za kwenu....sasa kama Larry madowo ako na followers wengi kumshinda na ako kenya? Iyo ni aibu gani
ulinielewa kweli?....au kiswahili ninachoka andika ni kigumu kwako kuelewa?.

nani aliyesema kuwa kenya inaongoza kuwa na journalist katika international media?.

halafu kwa wakazi wa east Africa,wanaongoza kwa idadi ya followers kwenye socia media ni watz.
nao ni diamond platnumz na ally kiba.huyo miduwo ni mjinga tu flani.[emoji23] [emoji23] [emoji40]
 
ulinielewa kweli?....au kiswahili ninachoka andika ni kigumu kwako kuelewa?.

nani aliyesema kuwa kenya inaongoza kuwa na journalist katika international media?.
Sasa kama majournalist wakenya wanamshinda followers twitter kuna haja gani tuendelee msee..msee 176k Larry 909k aibu kubwa...usiringe tena
 
Huyu uyacompare na mgani Tz...maze b4 uanze mada research kwanza
 
Wanaongoza kwa Instagram pekee...kuja Twitter ujionee ata uhuru Kenyatta na magufuli uwacompare Twitter...Instagram niya watoto wako adole
 
Hii tao inakaaje fake man..sasa hizo ma mall utacompare na two rivers kweli???? Acha ata two rivers ata 2 yaya centre hauezi compare na hizo malls
hio supermarket huoni jina hapo nani kaandika mall?????? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…