Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja hizo hotel na hizo building otherwise ni uzushi tu.
 
HII NI PUMBA YA MWAKA
 
Unadhani Mimi mgeni na hizo taarifa za njaa Kenya embu acha ujinga kujisifu wakati ndugu zenu wanakufa
Nimekuambia njaa sio kitu geni. Tumepambana nayo hizi miaka zote na licha ya hizo changamoto bado mnasoma number yetu
 
Mungiki 2 mln wanaishi kwenye slums tena kwa nairobi tu ambapo ndio capital,sure 99% ya mungiki wanaochangia huu uzi wanaishi kwenye slumsView attachment 1216468
Has always been a huge marketing ploy to raise money by NGOs. They made the slum a cash cow, one of the main reasons it is hard to eradicate it because of these entrenched cartels.
 
Niiiice, UPANGA EAST, Business Hub is loading.... Nilicho observe,kuanzia selender bridge,city center kariakoo mpk Ilala sehemu kubwa sana ya majengo yanamilikiwa na NHC kwa namna hiyo ni rahisi sana kwa serikali kubadili matumizi ya maeneo hayo pale itakapobidi tunashusha tunapandisha madude, mfano ni hiyo project ya CRDB HQ.Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…