Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiku mwema wadau. Mnapoingia kupumzika usiku hu, naomba Mungu awajalie na ndoto njema ndani ya hizo dream houses
 
Tena video ya juzi kabisa hii, hataki kuangalia [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesema niachieni mimi...Kwa sasa mimi nipo free for the all two weeks nakula Chicken ambae ni adimu Nairobi kuliwa...😂😂😂👇👇👇
 
Usiku mwema unaenda kupika Githeri....???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] Nasikia huko Nairobi mtu kula chapati ni anasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

Christmas tunakula chaparararaaaaaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu kilichonishangaza mimi ni hizo nyumba za tope hapo nairobi
 
Wakenya wanategemea chun chin aje ajenge ghorofa hapo nairobi,lakini wao hujenga vituko hata finishing huwa hawafanyi yaani ni kama serikali hakuna vile..
 
Ubaya wenu wakenya mnafananisha nairobi city center kwa dar nzima yani kama vle cc hatuna cty cnta? Afu mnaenda kuokoteza vinyumba vya washua mnafananisha na kariakoo [emoji23][emoji23][emoji23] akat kila sehem wahua na nyumba zipo, viestates vipo. Fananisha nairobi nzima kama mkoa which includes both the poor na slums zote kama unavoichimbua dar yetu faar from the city center adi mbagala uko nje ya mji. hzo sehem unazotaja uswazi zipo mbali na city center kak [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha uongo wa mchana wewe .Hii picha hapa chini inaonyesha Dar city center ilivyo ave you no shame whatsoever ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…