Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Agreed.
 
How can you sell something that you are leasing?
mzee taarifa inaweza ikawa imeandikwa kuuzwa kwa ndege lakini ndani ya pazia ninkurudishwa kwa ndege....hivyo hapo hakuna cha kuuzwa kitu ni kurudishwa kwa kitu
 
Italy, Cyprus,Greece neio style zao hizo na hata mitaa mingine gari haipiti. Ila kusafi
wakenya akili hawana ngoja city yao iendelee zaidi wataelewa vipi miji mikubwa yapaswa kuwa...

maana hata london aerial view ukiichukua ni hivyo hivyo

sasa wanakuja na kanairobi kao wanafurahisha dunia kwakweli
 
Video zipo kibao tu za wakenya wakisifia barabara zetu, hata ukipitia comment za hizo videos utaelewa tunamaanisha nini.
hawa machokoraa wa humu hawajawahi kutembea nnje ya kenya ni huishia kutembea kwa picha tu....ila ni type ya mathare peopled n kibera
 
mzee taarifa inaweza ikawa imeandikwa kuuzwa kwa ndege lakini ndani ya pazia ninkurudishwa kwa ndege....hivyo hapo hakuna cha kuuzwa kitu ni kurudishwa kwa kitu
Because that is what you want to believe, stupid danganyikan
 
aisee nairobii ni noma sana kama mbinguni yaani mi ndinga yakutosha full mineso aisee nyie wakenya kwa kweli ni msgeneous nahisi mtakuwa ni vile viumbe vinavyoishi sayari nyingine sijawahi ona vitu kama hivyooo

daaah nairobi ni noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuna mtu wa Mombasa kakimbia JF...Kashindwa kunionyesha mifi...[emoji23][emoji23][emoji23]
umesahau tuliwagonganisha wakaingia katika battle ya kuonyesha vifaa wanavyotumia kuingilia huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

mbabe wao alikuwa na nokia 5,mkenya kwa sifa humuwezi ila uhalisia ndio majanga.
 
Mtu anapost KFC restaurant jamani 🤣 🤣 anaona sijui Bongo hamna?
Wewe bongolala wacha ujinga. Who said am posting them because haziko Dar? When you post your three blue towers, does it mean there are no towers in Nairobi? I was posting several things found along Mombasa road. So I should not have posted KFC for what reasons? Hasira zako Peleka Mazense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…