Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ikona so many journalists kwa international scene hakuna haja hata kuwataja ju ni wengi sana and they are true professionals. So this is not something to brag about. Followers ingia twitter tafuta kenyan journalists uone wana followers wangapi.

ulielewa nilicho kizungumza au umekurupuka?.

career ya u-journalism,tv/redio reporting siku zote inaendana na u-celebrity kwa muhusika kwa sababu mazingira yake ya utendaji kazi yanamfanya mtu kuwa katika spotlight mda wote.

sasa nikauliza,katika hao journalist wenyu wengi ambao wapo ktk hiyo international scene kwa kufanya kwao kazi,BBC,CNN,DW,aljazeera nk,kwa wakati huu kuna anayemfikia kwa umaarufu salim kikeke wa tz anayefanyia kazi BBC?.

kuna anayemzidi salim kikeke kwa kuwa na idadi kubwa ya followers kwenye social media?.
kama yupo leta uthibitisho hapa.acha kupiga porojo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
bongo
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/01/140821_82e86b425c1f94fbb3f631e8757035d8.jpg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…