Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If Tanzanian Kiswahili ni bora, Mbona international swahili lecturers ni wakenya?
pia reporters wa BBC SWAHILI
baadhi ya wanahabari wenye asili ya tanzania wanaotangaza katika vyombo mbalimbali vya kimataifa.

NB:hivi kuna mtangazaji mkenya anayetangaza BBC,DW au VOA mwenye umaarufu mkubwa na followers wengi kwenye social media kama salim kikeke wa tanzania?.kama yupo leteni ushahidi hapa.

imagine hata Vincent makori mkenya anayetangaza VOA,mimi ambaye si mtangazaji wa redio au tv nimemzidi kwa followers maradufu.hii ni kuonyesha kwamba,your people who work for international media institutions ,are not popular.nobody knows them.
the only kenyan i knew back then was jeff koinange when was working as reporter for CNN.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Nawaza tu! whose economy will stuck or even perish one's Tz akifunga boder km alivyofanya Mwalimu halafu Tz tukafanya production zetu wenyewe bila kuwaleta jirani watengeneze na kutuuzia bidhaa tunazoweza kutengeneza wenyewe...Naendelea kuwaza siku ambayo Magazeti,Shooping mall's, Banks, Mobile phones company, Agricultural product's, Tourism business nk vyote vitakapomilikiwa na Watz kwa 100% and if not some % tupate wawekezaji wasio middlemen from jiran or fake Registered (abroad) company but owned by majirani wakitudanganya ni xxx from Uk,xxx from SA,xxx from whatever but ni matapeli from jirani and they feel proud of building their Nation from our back. Naendelea kuwaza jamani n i belive this day will come where jirani will thust for this beautiful market they always laughing,enjoying its cake while bluffing they are good ndugu's
 
povuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hata mimi hayo majengo yenyu likiwemo lile lenye mnara mrefu juu na yale machache yaliyopo kenyatta avenue mnayorudia kila mara kuweka picha zake hapa,nimeyaona mara nyingi sana.
 

Sawa.....endelea na mawazo yako.
 
Guys, I'm a russian, I really dont understand your language, but I can hardly speak English. You must be comparing 2 cities. To my opinion Dar es salaam is far ahead of Nairobi.
sure
 
kwan unazopost wewe ni zile zile unazopost kila siku sijaona jengo jipya bado
 

Kenya ikona so many journalists kwa international scene hakuna haja hata kuwataja ju ni wengi sana and they are true professionals. So this is not something to brag about. Followers ingia twitter tafuta kenyan journalists uone wana followers wangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…