Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe unajua zaidi sio?
 
First and foremost, you need to understand that the land where kibera stands ni ya serikali. The whole of kibera land belongs to the government. Sasa serikali itapataje Hati kwa kitu ambacho inamiliki?
 
First and foremost, you need to understand that the LA d where kibera stands ni ya serikali. The whole of kibera land belongs to the government. Sasa serikali itapataje Hati kwa kitu ambacho inamiliki?
wewe ni chiziiiii[emoji28][emoji28]

kwa hiyo kwa huko kenya serikali ikimiliki eneo huwa haina hati,?

Omg,,[emoji23][emoji23][emoji23]STUPID KENYAN
 
What's so unique about those houses? If these are the best in Dar, Nairobi has much much better ones
povuuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

sijakuelewa mzee ojwani hebu rudia tena[emoji54][emoji54][emoji29][emoji29]
 
wewe ni chiziiiii[emoji28][emoji28]

kwa hiyo kwa huko kenya serikali ikimiliki eneo huwa haina hati,?

Omg,,[emoji23][emoji23][emoji23]STUPID KENYAN
Mwenzako aliuliza kama serikali iko na hati ndio maana nikamuuliza kwamba kama ardhi yenyewe ni Mali ya serikali, watokasaje kuwa na hati? That's common sense
 
hakuna unalojya mzee hebu kale githeri kwanza kisha kasome historical indeep vizuri zaidi...

Tz ni nchi yenye ushawishi mkubwa wakimataifa kuliko ninyi kenyan chokoraa[emoji16]
Wewe unayejua mbona hujajinasua kutoka kwenye tope la LDC? 😂 😂
 
Hata Marekani pia walipokea misaada kutoka nchi mbali mbali baada ya hurricane Katrina kuleta maafa makubwa New Orleans (Qatar donated $400m ) kwa hivyo wacha ujinga na ujuaji mwingi.
We kila mwaka unapokea msaada wa chakula tumekuchoka.
Kila mwaka!!!!!!!!!!
 

Huwezi ona nyumba Nzuri kama hii Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]

You need to up your game danganyikans. I can show you thousands and thousands of such images from Nairobi but there's no need of going down that road. like I said yesterday, apartments ziko kila mahali Nairobi so I won't even bring those
 
Ziko kila mahali kwa sababu ardhi inamililikiwa na wachache [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku hata vijijini Unakutana nyumba za kifahari na haturingi hata, yaani hadi tandale unakuta nyumba kama hizo ulizopost hapa.
 
What can one expect from a bongolala if not denial?
Somo la kule juu halikukuingia ww?????
Dar hakuna slum kuna ordinary houses zimetapakaa.Hatuna nyumba za mabati km kibela na kariobangi.
 
First and foremost, you need to understand that the land where kibera stands ni ya serikali. The whole of kibera land belongs to the government. Sasa serikali itapataje Hati kwa kitu ambacho inamiliki?
Sasa wewe unajua zaidi sio?
Hati za flats ziko wapi? Au sio za serikali ya Kenya?

Soma link hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…