Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiyo jina tu inaashiria hasogei mwenye kipilipili kichwani hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulikuwa unataka iitwe Mwananyamala? Nyinyi ni wajinga sana. Na ile Oyster Bay yenu ni jina ya kinyamwezi?
 
Kuna baadhi ya Watanzania husema Nairobi ni vichaka. Well, this is New York (residential areas). "Vichaka" za New York zinavutia kweli
View attachment 1207697View attachment 1207698View attachment 1207699View attachment 1207700
Kamdanganye nyanya yako! hizi screenshots za satellite map umetoa somewhere in upstate New York au kwenye surrounding states kama NJ, PA na CT. Mtu mwenyewe hujawahi kufika New York halafu kisa leo una simu ya kukuonyesha map unajifanya mjuaji. Tuulize sisi tuliokaa huko kabla hujajiaibisha. New York city haipo hivyo. Watu wengi NYC wanaishi kwenye apartments, town houses, lofts au pent house. Hizo bushes utazikuta central park and it's not a bad thing, ila uwe na ushahidi unaoeleweka. Hizi picha ni sawa na mimi ningeleta screenshots za google maps za Pugu au Kisarawe halafu niseme ndio Dar
 

akibisha nishtue. mim mwenyewe personally nimekaa USA miaka minne kimasomo, naijua vilivyo New York
 
I have said a million times kwamba wewe ni mtu anayependa sifa za kijinga sana. Kuishi kwako NY inahusiana aje na watu wa JF? Kijana, this is a very simple post that doesn't need all that ranting about where you've been to, nobody is interested in knowing that. So imefika mahali watu sasa wanatangaza nchi wamewahi ishi!! Well, I think am different. Even if I went to the moon, I won't go telling anonymous people on the internet about it

Back to your whining about that post above. New York City is not a very big city in size (it is actually smaller than Dar). So do you expect everybody (8 million people) to live strictly within the boundaries of New York City considering its smaller area? There are many New Yorkers who live outside the boundaries of the city BUT still within the state (the state of New York). Wewe kama ulibahatika ukaenda US and made Harlem your home living in a dark apartment block ukisukuma maisha pole sana
 
Na Rais akija Dar afikie hotelini sio? Ikulu is a landmark building for our nation with significant importance. Therefore I don't support any changes on its use including its gardens.
 
Wewe na wenzio humu si ndio unapondaga wabongo kuwa hawajawahi kutoka manzese na tandale?! Sasa inakuwaje mtu akisema kakaa New York ni issue?! Ukisema kitu ambacho sio kweli kuhusu London, New York au Dar utajibiwa kuwa hivyo sio kweli na utapewa facts kwasababu anaekupa facts anakazia kwa kukwambia kakaa huko ujue anachoongea kakiona au kukiishi. BTW huku TZ mtu kusema kakaa wapi sio issue kabisa.
 
Nairobi metro covers a big chunk of kiambu kajiado and machakos counties.Nowadays ni bling bling all the way from Nairobi cbd to Thika 46 kms away
 
Hahaahahaaaaaa
 
Na Rais akija Dar afikie hotelini sio? Ikulu is a landmark building for our nation with significant importance. Therefore I don't support any changes on its use including its gardens.
There are always costs! if you leave a big building like that empty all year while you use money to light it up, pay people to clean it up, water the gardens around it, and pay security to keep it safe then you might just as well turn the building into an income generating source. You know what's even better? it will still remain as a prominent landmark! fair enough?
 
Hahahaahhahahahahahaaaahaaa dah kaka yani lengo lako la kuelezea kuwa umeishi US ni kwaajili ya uthibitisho lakn umefikiriwa vingine kuwa ww arrogant,then umeuliza kingine umejibiwa kingine daaaaah!!!!
Huyo Nikki huwa anakwepa maswali yangu kila wakati. Mimi nimeshamzoea.
 
It can act as a state lodge instead of change of use. In kenya, there are state lodges in Mombasa and kisumu
 
Huyo Nikki huwa anakwepa maswali yangu kila wakati. Mimi nimeshamzoea.
Ni swali gani hapo nimekwepa jamani? You've even confirmed that some people live in Upsate and still consider themselves New York residents.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…