Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kweli akili zako zinafanya kazi TPA and PPF towers zisingekosekana Kwa list lakini hazimo so NATGEO wako sahihi kabisa n mind you mzizima inakuja kujaza 5 so nusu ya zitakua TZ zilizobaki mtagawana mataifa mengine
Kweli nyinyi wapumbavu. Hebu taja hizo buildings 4 and their height in meters then we compare with the rest
 
Kama kweli akili zako zinafanya kazi TPA and PPF towers zisingekosekana Kwa list lakini hazimo so NATGEO wako sahihi kabisa n mind you mzizima inakuja kujaza 5 so nusu ya zitakua TZ zilizobaki mtagawana mataifa mengine
Have you read that article ama nipige kelele tu? PSPF imeoridheshwa ya sita kwa hiyo list so sijui wewe unasema nini

These are your tallest buildings in meters against the tallest ones in Nairobi
 
Top 5 tallest buildings in East Africa.
1. Britam tower(Nairobi) 200m,31floors
2. ADB Bank 7(Addis Ababa) 198m,48floors
3. GTC office tower(Nairobi) 184m,43floors
4. UAP tower(Nairobi) 163m,33floors
5. NIB Bank(Addis Ababa),35floors

My quiz is, kama top 5 East Africa ndio hampo,je mtaweza all of Africa.

Here are their pics.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji6][emoji28] pia hadi kalio lako ni refu in metter sq per weight kuliko nguruwe
 
Siyo lazima uwe unajibu kila kitu, it says excluding SA(South Africa)
Mwenzako alisema Dar has four of the ten tallest buildings in Africa, wakati hata huku east Africa Dar is not home to the tallest building in this region. Who doesn't know that Britam is the tallest building in EA? Nyinyi ni wabishi kweli
 
From position 6-10 tallest buildings in East Africa.
6. TPA(Dar) 157m,35floors
7.PSPF I(Dar) 153m, 35floors
8.PSPF II(Dar)153m,35floors
9. GTC hotel tower (Nairobi) 145m,37floors
10. times Tower(Nairobi) 140m, 33floors.
 
Mwenzako alisema Dar has four of the ten tallest buildings in Africa, wakati hata huku east Africa Dar is not home to the tallest building in this region. Who doesn't know that Britam is the tallest building in EA? Nyinyi ni wabishi kweli
Mwenzangu nani? The post said Dar has 4/10 of tallest building in "Sub-Saharan Africa excluding SA" , then you came up with tallest buildings in Africa which is irrelevant to what i posted.

Kwa lugha rahisi ya Kiswahili kati ya majengo 10 marefu zaidi chini ya Jangwa la Sahara ukitoa Afrika Kusini, 4 yapo Tanzania.
 
From position 11-15 tallest buildings in East Africa
11. PPF HQ(Dar) 134m, 33floors
12. Prism towers(Nairobi) 133m, 33floors
13. United Bank (Addis Ababa ) 131m,35floors
14.Zemen Bank(Addis Ababa) 131m, 30floors
15. Parliament towers(Nairobi) 125m,26floors.
Here are the pics
 
We boga nyumba zingine hapo hazijakamilika wacha ukenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…