Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeanza kulia nilijua lazma ulie๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ endelea kupost zile estate za umoja alaf uache slums ambazo wanaishi 3/4 ya wakazi wa nairobi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sio kibera tu zipo zaidi ya 40๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Sehemu ambayo nguruwe hawezi kuishi
 
We jamaa unashida sana
Njoo makongo tu hapa ustaajabu inameza vibanda vyote hivyo...
Goba, madale,tegeta mbweni Ni moja ya maeneo safi kabisa,izo vibanda vinakunyima usingizi kisa nn
 
Umeanza kulia nilijua lazma ulie๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ endelea kupost zile estate za umoja alaf uache slums ambazo wanaishi 3/4 ya wakazi wa nairobi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ndugu yangu nimekuambia ulete estates zenu mambo na Umoja yanatokea wapi? Hizo picha nilileta kuna hadi za Kariobangi mnayoitanga slums. Pia kuna Donholm, South C, Buru Buru, Komarock, hadi Embakasi na zinginenezo (those are eastlands estates). Nikasema pia kwamba kama hamna, uko huru kuleta za kibera kujifariji. The choice is yours
 
We jamaa unashida sana
Njoo makongo tu hapa ustaajabu inameza vibanda vyote hivyo...
Goba, madale,tegeta mbweni Ni moja ya maeneo safi kabisa,izo vibanda vinakunyima usingizi kisa nn
Zinaninyima usingizi kwa sababu hamna hizo "vibanda" hapo Dar. What you have is uswazi stretching several kilometres in the most disorganized and confused manner without any form of planning. And by the way, hebu leta aerial photos za hizo mitaa ulizotaja hapo juu tuone. Kama hauna, leta za kibera
 
Endelea kupost ni zile zile unarudia kila siku za umoja lakini 3/4 ya wakazi wa nairobi wapo kwenye super slums wakiishi maisha hata nguruwe hawezi kuishi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ endelea kutafuta slum dar inaonesha unaakili nyingi kuliko mzungu wewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
I like how you are dancing to my tune. You are now free to bring kibera photos coz it's clear you don't have anything meaningful to show us from Dar is slum ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Makazi wasiowesa kuishi nguruwe๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Watu wanakufa mara mbili๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ