Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bunju, Tegeta, mbezi beach, sinza,kimara, Tabata segerea na kinyerezi, kigamboni, makongo, mikocheni, hzi ndiyo sehem wanakaa washua tupu wa tanzania na ndzo sehem zinaongoza kwa msongomano wa magar kwasababu ya population kubwa ya sehemu hizi. Maeneo haya ni yamedevelop ile mbaya japo yapo mbala sana na mjini

Mbagala, Temeke, gongo la mboto, kinondoni, magomeni, buguruni, ubungo, na Tabata hzi ni sehemu za watu mchanganyiko, high na middle class. Ukitoa kariakoo posta, upanga na kijito nyama haya maeneo ndio yanayofuata kuwa na maendeleo na majengo marefu, Huku kupo juu kimaendeleo na biashara na masoko yote ukiondoa kariokoo ndo yapo katka maeneo haya.

Tandale,na manzese ndo sehem zanye sifa ya kua na watu wa uwezo wa kawaida na middle class, pia kumbuka manzese ni sehem yenye taller skyscrappers na masoko na watu hawa wana nyuma nzur na malazi but co slums, ni tu niwachache in numbers. So usiropokwe tu kwakuwa umejaaliwa domo kubwa.
 
Kuna maeneo kama msasani, masaki, oysterbay mikocheni A, kawe, kunduchi, ununio, huko ni washua tu, cna haja ya kuelezea coz ni maeneo famous hata wakenya nahisi mnajua
 
I thought strabag could win sec phase tender but they didn't

Back then when BRT was under construction
 
Lol. Taller skyscrapers in Mazense? 😂 😂
 
Kuna maeneo kama msasani, masaki, oysterbay mikocheni A, kawe, kunduchi, ununio, huko ni washua tu, cna haja ya kuelezea coz ni maeneo famous hata wakenya nahisi mnajua
nawadhukuru aerial view ya maeneo mengi hatujapiga
 
Not the first gated community tbh...kuna Dar villas ,reagent estate,ada estate ,etc
 
Not the first gated community tbh...kuna Dar villas ,reagent estate,ada estate ,etc
Wakiambiwa hawaijui Dar wanalia lia, kazi kuokoteza picha za google Tandale na Manzese
Wanaokoteza aerial photo za hizo sehem ndo wanashikilia bango

Dar ni zaidi ya tower tatu zile, Kijitonyama na zile aerial view za Tandale na Manzese
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…