Wewe ukiambiwa uchague kati ya Kuishi Somalia au Namibia utachagua wapi? Hii inajibu mantiki yaIngekuwa hivyo ungekuta Tzn inaongoza kwa kila kitu kuanzia economy hadi quality of life unfortunately kila figure inawaweka same level na Burundi Somalia DRC and the likes as poor ldc
What you are doing now is just kukimbiza mwizi
Asante kwa render🤣🤣🤣🤣Their is another 27 storey building coming up in Westlands.... Kwa hii speed sioni city yoyote hapa afrika ikiifikia Nairobi hivi karibuni upande wa majengoView attachment 1196349View attachment 1196350View attachment 1196351
Huna akili ww unajua hilo daraja litaonganisha mikoa mingapi hapo na unajua shuguli za kiuchumi zilizopo hapo???Tanzania inamwaga pesa nyingi hivi mahali ambapo uzalishaji na kulipa kodi ni chini sana?
$money not well $pent.
Na ndio inawatoa jasho la makalio😆😆😆Nataka kukuonyesha Dar hakuna kitu bongolala hii
Zaidi ya Nairobi Terminus!
Wewe ukiambiwa uchague kati ya Kuishi Somalia au Namibia utachagua wapi? Hii inajibu mantiki ya
wewe Mkenya kuchagua Kuishi Tz over Kenya, who will chose to live in a poor country with poor Health services, poor water supply, Poor Transport infrastructure, Hunger, Insecurity etc??
Yaani kiuhalisia Tanzania imeendelea far zaidi ya Kenya,
Hizo figures hazina maana yoyote, tena kwa jinsi informal sector tz ilivyo pana na kubwa ingehesabiwa kwenye GDP tungekuwa na $150bn,
Nikusaidie kitu, Kama Wakenya ndio wangekuwa Tanzania kwa wanavyopenda sifa wangejilipua na GDP ya $200bn,
Angalia hiyo link hapo chini
Kwani unadhani kwa nini wakenya wengi mnapenda kuja kuishi Tanzania Kuliko kubaki huko Kenya?
Why not Somalia, Burundi, DRC ama Uganda kama ulivyomention hapo?
Jaribu kushirikisha ubongo ukiwa unajadili mambo ya msingi.
Mkuu huyo jamaa choice variable namtambua yani ni mbishi halafu mjuaji mingi.Unaongelea hizi 13 counties au
Hii map inaashiria nn broh!!????Tanzanians na facts ni maadui sana...
Mkuu huyo jamaa choice variable namtambua yani ni mbishi halafu mjuaji mingi.
Yan Tz aifananishie na Burundi ilhali quality of living tz in reality imeipiku had Kenya.
1)Kenya kuna watu wengi wanajiua kwa ugumu wa maisha na mapenzi.
2)kenya ina wakaz wengi waishio mahal yasiyo ridhishi yan ni dumple generally mathalan kibera.
3)Kenya ndio only nation EA nilioisikia watu takriban 40 wanachangia choo na wengine kunya ktk ndoo kupelekea kuwa na fying toilets.
4)Kenya ndio taifa pekee linalosifika kuwa na uchumi mkubwa lakini wananchi wake wanakufa na njaa kali na wengine wakiishi maisha magumu.
5)Kenya ndio nchi pekee inayosifika kuwa na uchumi mkubwa lakin hadi kuonana au kutembeleana majumbani kwa appointment km ofisini .
MAISHA GANI KENYA INAYO AMBAYO NI NZURI??!!! HAKUNAAA
Msipende kuongea kwa kukariri man.voodoo economics laced with emotions.You just described tanzania in the reverse order.Our HDI is better than you.......ama mtasema tulibribe world bank
Hii map inaashiria nn broh!!????
Mbona ipo ipo tu wala haina key za kuisupport??!!
Bro soma hzo facts halafu nambie ipi ni ya uongo kuhusu Kenya.the only thing is that you are just ranting out of emotions
Hzo key words za kuisupport kuwa rangi hii inaashiria kitu flan Mbona hakuna???Human Development Index 2018
Hao watu wanakula na kunywa vzuri na kulala pazuri hawahangaiki na uhanga wa njaa km watu wa Wajir Kenya.arusha your third city....lol.better life indeed ......
Mzima kweli wewearusha your third city....lol.better life indeed ......
Hao watu wanakula na kunywa vzuri na kulala pazuri hawahangaiki na uhanga wa njaa km watu wa Wajir Kenya.