Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naii kuna slum mob itakuwa Uhuru kawajengea slum Mpya ndiyo maana tukiuliza Nairobi kuna slum ngapi amtupatii majibu
BROO KUNA TEN MAJOR SLUMS IN KENYA MINOR ATAKUMALIZIA JAMAA NEXCIE.

List of slums in Kenya
This is a list of slums in Kenya.
Kibera
Mathare
Kayole
Dandora
Baba Ndogo
Fuata Nyayo
Huruma
Kawangware
Kangemi
Kariobangi

Hzo hapo bro
 
Heheee!!nani kakwambia hicho ni kiswahili...km hujui kitu uliza bana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ugliest my foot...na wakati ume trend hata kuliko nyimbo nyingi za bongo[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Hivi we monkey unaishi slum gani Naii nataka kuja kutembea naii
 
Kisha anagalia top 5... nne zote ni za kutokea kenya...
Hzo zinatrend kenya sio Afrika kiujumla.
Uliza Afrika Tz tunavyokimbiza.
Kwanza nyimbo zenu zinakuaga na viewS wangapi km sio 20k mmemaliza kaz!????
 
Says a bongolala [emoji23] [emoji23] [emoji23]
actually, kibera has 10 million people [emoji23] [emoji23]
Sasa na wewe unajitakia tabu bure kubishana na MTU nanalala kwa slum kazisiliba kinyesi usiku kucha
 
We kataa ukatae Kibera ndio major slum in Africa.
Watu mnashea flying toilets??!!!!Aibu hii
With ten million people πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Akili zako mibongo ni hatareeee πŸ˜‚
 
Hujui unachokisema...africa mnajulikana wapi basi...
Hzo zinatrend kenya sio Afrika kiujumla.
Uliza Afrika Tz tunavyokimbiza.
Kwanza nyimbo zenu zinakuaga na viewS wangapi km sio 20k mmemaliza kaz!????
 
Hujui unachokisema...africa mnajulikana wapi basi...
Halafu usisahau Diamond alipata tuzo mama Africa ya muziki asa sijui mkenya yupi aliwahi fanya hvyo???
Au wale walioimba tattu tesso or Nyanshiski??!
 
Don't intimidate people thinking that somehow you are gonna get away with it. This just shows how stupid you really are nikki.
View attachment 1194499
Wacha ujinga,fitina na unafik wewe .Unajifanya mjuaji sana with fake facts dug from a questionable organization ati "1.2 m slumdwellers' kwanini hakuna MP yeyote wa Kibera amewahi kupata kura elf mia mbili?

The whole kibera has never even had 250K voters so where does the fake sum of 1.2 million residents come from? Wewe uliona several choices ukachagua ile "fact" tu inaweza fit your ill intentions just to look "credible"
 
We ni kafala.
Kwan kuongezeka wakaz mpk wazaane??!!!!
Kwan migration pia haiongezi wimbi la watu??!!!!!
Utajuaje labda watu wamehamia sana kibera wakaongeza population.??!!!!
You people hold a certain view then you go around the web searching and selectively using "facts" which you see fitting your fitina na nia mbaya. I'm sure if you came across different sources refuting your numbers you just overlook them sababu haitoshi mboga yako ya kasumba mbaya.

Stop manufacturing fake facts to fit your evil narrative.
 
Si hao wasanii...hta akothee si alimlipa m.r flavour na wakaimba...hela yako baba...halafu usijidanganye km west na south africa km miziki ya east africa inachezwa... ni shobo zetu tu sisi hku ndio zinatufanya tunawapa flegi
Waulize kina Patoranking,P square,Yemi Alade,Omarion watakwambia Diamond na Harmonize ni kina nan.
Kwisha kaz

 
Wazee wa slumhub mnajitekenya sana[emoji23][emoji23]
 
kwa akili yako ya kipumbavu unadhani watu wote wa kibera wanaweza kupiga kura? kwa hiyo wakazi wote ni watu wazima? zaidi ya watoto 100,000 kibera ni yatima na hao sio watoto wote.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡2.5m

 
BROO KUNA TEN MAJOR SLUMS IN KENYA MINOR ATAKUMALIZIA JAMAA NEXCIE.

List of slums in Kenya
This is a list of slums in Kenya.
Kibera
Mathare
Kayole
Dandora
Baba Ndogo
Fuata Nyayo
Huruma
Kawangware
Kangemi
Kariobangi

Hzo hapo bro
Kuna slum kubwa sana kenya inaitwa makuru kayaba nafkiri ni ya pili au ya tatuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…