Ngoja ni clarify kitu ...kigamboni haikucost 136usd ni more than that around 150mil usd ila sio mbaya ni maeneo hayo hayo ..kumbuka kimara kibaha ni$70m ni 19km ila ina lane 8 usisahau hyo....sasa road za single lane zitacost sh ngap..cost ya kujenga road Tz ni kama 1-1.5bilion tsh per km that means ukiwa na 25mil usd sawa na 50bil tsh roughly unapata 35-40km of road yenye lamiHivi hii upumba yote hua unatoa wapi?yaani ata kule skyscraper city niliona ukisema tu hivi hivi,mfano kigamboni bridge ilicost $136mln kujengwa yaani $136mln ni nchi gani hiyo pesa itatosha kujenga kilomita 200 ya barabara ?mfano expansion ya kibaha Ka sikosei inacost $70mln kwa kilometre 19 kumaanisha ingekuwa 35km hio 136mln haingetosha,,,,,saa zingine kuwa unaongea kama mtu amesoma bana
Hakuna majengo marefu NBOIts very telling that Dar es Salaam's tallest towers are all government affiliated. Sisi Kenya tulipita hilo daraja zamani hivi leo majengo yetu marefu zaidi yamejengwa na private sector.
Sikiliza bro hyo bridge ya mwanza itacost 300mil usd that is almost 660bil tsh ....that can get you 350-400km two lane road in TzKama hizi bridge zingekuwa zina cost over $500mln ningekuelewa lakini hii yote ni upumba bro
Nipe source kigamboni ilicost more than 136mln,alafu unipe source ambapo mlijengewa barabara tu moja ya kilometres 200 kwa 136mln(ama $0.6mln kwa kilomita moja)Ngoja ni clarify kitu ...kigamboni haikucost 136usd ni more than that around 150mil usd ila sio mbaya ni maeneo hayo hayo ..kumbuka kimara kibaha ni$70m ni 19km ila ina lane 8 usisahau hyo....sasa road za single lane zitacost sh ngap..cost ya kujenga road Tz ni kama 1-1.5bilion tsh per km that means ukiwa na 25mil usd sawa na 50bil tsh roughly unapata 35-40km of road yenye lami
So single lane kwa 100mil usd unajenga roughly 150km
Ahahhaa tuoneshe wapi ujenzi wa likoni😆😆😆Mombasa Gate Bridge | Mombasa
We are not a socialist or nany state. Those who don't want to pay Toll can find other means as I am sure they will be available. They already pay to use the overstretched Likoni ferries. I'm sure for the same amount they will appreciate using a bridge that is more convenient and faster. Even in...www.skyscrapercity.com
During JPM time as a minister of infrastructure n works, a km of tarmac road costed Tshs 800mln-1bln! Do the math!Nipe source kigamboni ilicost more than 136mln,alafu unipe source ambapo mlijengewa barabara tu moja ya kilometres 200 kwa 136mln(ama $0.6mln kwa kilomita moja)
Kimoja kimoja tunachomoa mpaka vitaisha.Hapa kwenye Airport hatuna Mpinzani
Tumechoka kuona hizo building tatu kila wakati,Westlands peke iko na sita na hutaona zikipost ujinga ujinga hivi
Building za mchina hizi...jengeni zenu mnajisifu na building za wenyewe....🙆🙆🙆🙆Tumechoka kuona hizo building tatu kila wakati,Westlands peke iko na sita na hutaona zikipost ujinga ujinga hiviView attachment 1187800
And by the way, it's not houses msapere and I were talking about. It's skyscrapers. You think you can also google that?
Wacha kunipa figures na pesa ya madafu nipee source ina onyesha Barabara kilomita moja bongo ni $600k otherwise maneno matupu ni porojo tu....During JPM time as a minister of infrastructure n works, a km of tarmac road costed Tshs 800mln-1bln! Do the math!
Majengo marefu ziko Mwananyamala 😂 😂 😂Hakuna majengo marefu NBO
Tumechoka na hizo gofu zenuTumechoka kuona hizo building tatu kila wakati,Westlands peke iko na sita na hutaona zikipost ujinga ujinga hiviView attachment 1187800
ATCL wajitahidi kuanzisha safari za China Kwani hizo ni fursa za abiria piaMambo yanazidi kuwa ya moto
Building za mchina hizi...jengeni zenu mnajisifu na building za wenyewe....[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]