Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha ,hii LDC yenu kila kitu kinajengwa "kwa pesa zetu za ndani" . Nyie watu upuuzi wenyu hauishi its like the universe it has no end. Manzese ,Mburahati ,Tandale na slums zingine Dar es Salaam also need a tour from your ambassadors.
Hapo ndio mwisho wa akili yako
 
Wakenya bisheni na hili😆😆👇👇

If you know the meaning of endemic, read this
 
Meanwhile ninyi wananchi wa kawaida hamfaidiki na chochote zaidi ya kusifia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
The three most profitable banks in Tanzania didn't even make a half of that profit combined. Lakini wanavopiga kelele hapa ndani!!!
 
Meanwhile ninyi wananchi wa kawaida hamfaidiki na chochote zaidi ya kusifia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hapo Mwananyamala kwa kopa unafaidika na nini hizo shilingi mbili benki zenu zinatengenza kama faida?
 
Sikai mwananyamala.
Hizo shilingi mbili ambazo huna, unategea jioni ifike ufate Wi-Fi uhuru park
Kumbe ulishahama Mwananyamala? Siku hizi unasukumka gurudumu ya LDC ukiwa maeneo yepi? Ulihamia Gongo la mboto, Tandale au Mazense?
 
Nilishawah kuhamia kwani,
Ldc ambayo ni better kuliko mldc kenya [emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo tandale na manzese ni better kuliko mldc yenu
Kumbe ulishahama Mwananyamala? Siku hizi unasukumka gurudumu ya LDC ukiwa maeneo yepi? Ulihamia Gongo la mboto, Tandale au Mazense?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…