Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Labda zoom utuoneshe slum naona unahangaika sana kutafuta slum πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† utapata tabu sana
Alosema ni slum nani? Hiyo ni middle income estate ndani ya Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
And by the way, iweje siku hizi unakubali hizi ni picha za Dar?? Ama wacongo na wanaijeria hatimaye walizakana?
 
Ichoboy, hii hapa ni ya Congo Brazaville au Congo Kinshasa? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Alosema ni slum nani? Hiyo ni middle income estate ndani ya Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
And by the way, iweje siku hizi unakubali hizi ni picha za Dar?? Ama wacongo na wanaijeria hatimaye walizakana?
Unajifanya kuzuga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wewe tuoneshe slum hapo leo tujue mzungu ni mjinga hana akili😁😁😁 zoom hapo utuoneshe slum

Mzungu aeke sattelite ya trillions of money alaf aone slum za naorobi asione dar πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Watu wanafkiri mzungu alikosea kusema slum ziko nairobiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Narudua tena na naomba unisikie Kwa making.... Mimi hakuna mahali nimesema hiyo ni slum. Nilichosema ni kwamba hiyo ni middle income estate ya Dar and it looks lovely from above
 
Narudua tena na naomba unisikie Kwa making.... Mimi hakuna mahali nimesema hiyo ni slum. Nilichosema ni kwamba hiyo ni middle income estate ya Dar and it looks lovely from above
Kwan mm nimeanza kukujua ww leo au???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…