Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,544
- 11,223
Mtangulize na hii hapa kisha tuwafateHapa dondosheni bomu muanze upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangulize na hii hapa kisha tuwafateHapa dondosheni bomu muanze upya
That's one hell of a challenge. Wanasema mitaa zao ni middle class. Ndio hizo hapa. Bongo kuna maajabuSasa huku mtu hupewa direction vipi? Dah!
Iko kenya inatumiwa na wachache wengi munaishia kwenye makazi hata mbuzi hawezi kuishiππππPesa iko Kenya bana wacaha watumie
Labda zoom utuoneshe slum naona unahangaika sana kutafuta slum πππ utapata tabu sana
πππππππππKenya kuna pesa bana,wacha watumie
Alosema ni slum nani? Hiyo ni middle income estate ndani ya Dar π π πLabda zoom utuoneshe slum naona unahangaika sana kutafuta slum πππ utapata tabu sana
Wenye pesa hua na per capital ya $25000 sio $elfu moja mia tano. ...Kenya kuna pesa bana,wacha watumie
Labda zoom utuoneshe slum naona unahangaika sana kutafuta slum utapata tabu sana
πππππHapo ushamtimua
Unajifanya kuzuga πππ wewe tuoneshe slum hapo leo tujue mzungu ni mjinga hana akiliπππ zoom hapo utuoneshe slumAlosema ni slum nani? Hiyo ni middle income estate ndani ya Dar π π π
And by the way, iweje siku hizi unakubali hizi ni picha za Dar?? Ama wacongo na wanaijeria hatimaye walizakana?
Zoom utuoneshe slum ππππππ mzungu sio mjingaIchoboy, hii hapa ni ya Congo Brazaville au Congo Kinshasa? π π π π
View attachment 1180768
Danial won't save your ass!Zoom utuoneshe slum ππππππ mzungu sio mjinga
View attachment 1180770
Who is clever between wewe na mzunguπ π π π π πDanial won't save your ass!
Narudua tena na naomba unisikie Kwa making.... Mimi hakuna mahali nimesema hiyo ni slum. Nilichosema ni kwamba hiyo ni middle income estate ya Dar and it looks lovely from aboveUnajifanya kuzuga πππ wewe tuoneshe slum hapo leo tujue mzungu ni mjinga hana akiliπππ zoom hapo utuoneshe slum
Mzungu aeke sattelite ya trillions of money alaf aone slum za naorobi asione dar π π π
Wewe! π πWho is clever between wewe na mzunguπ π π π π π
Endelea kutafuta slum kwa torchπππWewe! π π
Kwan mm nimeanza kukujua ww leo au???ππππππNarudua tena na naomba unisikie Kwa making.... Mimi hakuna mahali nimesema hiyo ni slum. Nilichosema ni kwamba hiyo ni middle income estate ya Dar and it looks lovely from above