Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww hua unamaumivu na presha za kikeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kwan kua na overpass ndio maendeleo au hujui maana na faida za overpass au kwenu overpass ndio inawapa chakula
Kama sio maendeleo mbona ulipost?
 
Sijui kama umenielewa kiswahili πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nimekwambia niletee official source inayosema kua kenya ina MW 3800 ukipata nitag nifunge acc
 
So ww unanifundisha chakupost au unajua nilichomjibu mwenzio au umeamua kuvaa bikini yake???? Punguza umama
Umama ni wewe kijana wa tandale. Unaleta picha ya hiyo flyover yenu moja then mtu akileta ya Nairobi unamuuliza kama hiyo ni maendeleo. Wewe ulipoleta hiyo yenu moja ulijiuliza kama ni maendeleo? Pimbi Wewe!
 
Umama ni wewe kijana wa tandale. Unaleta picha ya hiyo flyover yenu moja then mtu akileta ya Nairobi unamuuliza kama hiyo ni maendeleo. Wewe ulipoleta hiyo yenu moja ulijiuliza kama ni maendeleo? Pimbi Wewe!
Unajua nilichomjibu mwenzio au unaamua kuvaa bikini yake???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† miaka 50 muliojitenga wenyewe nikajua labda mutakua kama paris kumbe utumbo na ushuzi wa bata

Kasome post yake alaf ujue nimemjibu nn unakua kama beki tatu banaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Another loss making companyπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡



Go go unemployment rateπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Inatisha coz you have deliberately chosen to look at it that way. Tell me, does your stadium have a superior playing turf than kasarani? Mention anything to me it has that kasarani doesn't have.
Wetu una viti ilhali wenu una vigoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…