babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,382
- 35,925
Tanzania 6
Kenya. 2
Uganda 1
Hahahaha, soon safari za Dar- Kibera zitaanza. Ni mwendo wa kuendeleza bakora tu, tunawachapa kutokea kila pembe ya maisha.Mbona hamjarudi Bombay???
Hiyo ni daraja la electric bullet train, Kenya mlishaunganisha UMEME katika Yale mapipa ya chang'aa?Hii si kitu ya kupost hapa chauffeur boy, tushazizoea Pande za Kisumu, Nakuru, Mombasa na Nairobi.
Kama unajiamini weka moja nje ya Dar es Sluum
Na haturingi
View attachment 1175300
So Kibera yetu ni ya kufananishwa na Dar Sluum? Tumekuwa tukisema hivyo tangu kitambo mkakataa lla kwa Sasa umekubali kuwa Dar is Sluum vs Kibela πππ Thanks for the clarification bro.Hahahaha, soon safari za Dar- Kibera zitaanza. Ni mwendo wa kuendeleza bakora tu, tunawachapa kutokea kila pembe ya maisha.
1500Mw vs 3800Mw πππHiyo ni daraja la electric bullet train, Kenya mlishaunganisha UMEME katika Yale mapipa ya chang'aa?
Ww hua unamaumivu na presha za kikeπππ kwan kua na overpass ndio maendeleo au hujui maana na faida za overpass au kwenu overpass ndio inawapa chakulaHii si kitu ya kupost hapa chauffeur boy, tushazizoea Pande za Kisumu, Nakuru, Mombasa na Nairobi.
Kama unajiamini weka moja nje ya Dar es Sluum
Na haturingi
View attachment 1175300
Leta link official inayosema kenya ina umeme 3800MW ukiniletea nitag nifunge account jamii forum1500Mw vs 3800Mw πππ
Piga keleleeeeeeee, hahahaha, hahahaha.So Kibera yetu ni ya kufananishwa na Dar Sluum? Tumekuwa tukisema hivyo tangu kitambo mkakataa lla kwa Sasa umekubali kuwa Dar is Sluum vs Kibela [emoji23][emoji23][emoji23] Thanks for the clarification bro.
1601MW vs 2700MW Acha bangi Ila sio mbali Tz 10,000MW ke 3500MW1500Mw vs 3800Mw [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungesema nje ya Dar hamna such infrastructure ningekuelewa, Na Kama ipo ungekuwa umeweka tayari...mwaga povu Tena.Ww hua unamaumivu na presha za kikeπππ kwan kua na overpass ndio maendeleo au hujui maana na faida za overpass au kwenu overpass ndio inawapa chakula
ππππ Tangu mpeleke Ndege Mumbai hamjarudi Tena sema tu ukweli.Hehehe mumbai hioπππππ
View attachment 1175364
Niliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MWLeta link official inayosema kenya ina umeme 3800MW ukiniletea nitag nifunge account jamii forum
Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? πππ Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tuππ1601MW vs 2700MW Acha bangi Ila sio mbali Tz 10,000MW ke 3500MW
Labda ww uniletee link kua hatujapeleka tena ndege ukipata niambieπ π π π πππππ Tangu mpeleke Ndege Mumbai hamjarudi Tena sema tu ukweli.
Now 1601MW unaweza pata taarifa hizi kwenye vyanzo sahihi ukitakaNiliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW
Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? [emoji23][emoji23][emoji23] Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tu[emoji16][emoji16]
Sijui kama umenielewa kiswahili πππ nimekwambia niletee official source inayosema kua kenya ina MW 3800Niliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW
Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? πππ Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tuππ
Ldc mlitoka 2014 sio 1980 acha ujuhaNiliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW
Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? [emoji23][emoji23][emoji23] Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tu[emoji16][emoji16]
Hujanielewa Kiswahili nimejua bia ukanushe nyir kuwa na 1500MW to 1359.69MW πππSijui kama umenielewa kiswahili πππ nimekwambia niletee official source inayosema kua kenya ina MW 3800