Yaani nyumba zimepigwa rangi kabisa na kupangiliwa hivyo ndo unaota slums?Vipi kuhusu hapo nyuma ya hizo buildings?Kunapendeza kweli
View attachment 1173934View attachment 1173936
Hakuna cha wivu hapo. Huo ndio ukweli. Inaitwa naked truthWw inaonesha una wivu wa kike sanaπππ
Yaani nyumba zimepigwa rangi kabisa na kupangiliwa hivyo ndo unaota slums?
Kama sio wivu ni niniView attachment 1173938
Hakuna cha wivu hapo. Huo ndio ukweli. Inaitwa naked truth
Kando ya barabara nyumba zinaweza kuwa zimepangwa vizuri. Lakini Vipi kuhusu hatua tano ama kumi kutoka hapo? Je hizo sehemu zingine hazifai kupangwa na kupendeza? Mipango miji bado mko nyuma sana na mna mengine kijifundisha kutoka NairobiYaani nyumba zimepigwa rangi kabisa na kupangiliwa hivyo ndo unaota slums?
Kama sio wivu ni niniView attachment 1173938
Mbona unaweweseka? Ni wapi nimetaja slum? Ama huenda unashuku hizo mitaa zikawa ni slums ukizingatia hali yao na mipango?Mzungu aeke satellite hewani asione kua hapo kuna slum aone za nairobi πππππ labda slum imepoteza maana yake
Mbona unaweweseka? Ni wapi nimetaja slum? Ama huenda unashuku hizo mitaa zikawa ni slums ukizingatia hali yao na mipango?
Upangaji wa miji bado mko nyuma sana. Mitaa zenu ziko ziko tu. Hazina mvuto hataKwan unafkiri ww ni mgeni kwetu???πππππ akili zako hazijatofautiana na wanjala
Alafu mbona huwa akiambiwa azoom hataki [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah hajui maana ya slum ukimwambia azoom hapo aluoneshe slum hutamuona tena[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Alafu mbona huwa akiambiwa azoom hataki [emoji23][emoji23][emoji23]
msapere soma hiyooo π€£π€£
Upangaji wa miji bado mko nyuma sana. Mitaa zenu ziko ziko tu. Hazina mvuto hata
This is Mombasa Road, with Airtel Africa headquarters on the left. Nyuma ya Airtel ni South B estate (just part of it). Is it close to the Kijitonyama are as far as planning is concerned? You can also zoom (if that's the only way you can see well)Alafu mbona huwa akiambiwa azoom hataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kuhusu hapo nyuma ya hizo buildings?Kunapendeza kweli
View attachment 1173934View attachment 1173936
Kama vile zile slums zenu mulivo zipanga zikizunguka nairobi nzimaππππ