Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulianza kwa gia ya utanzania, naona kamba zimekukaza umefunguka Leo kuwa wewe ni I mkenya.
 
Wapi nilipofunguka kuwa mimi mkenya,kuwa na maoni kinzani na yako hayaniondolei hadhi ya utaifa wangu
Variable Choice huna lolote,
Nairobi ardhi inamilikiwa na wenye pesa na mliobakia ni walalahoi tena mliochoka mbaya.

Kwa kuwa umejitambulisha vyema kuwa upo Tanzania ziko Dungu (vibanda vya mkaa) wanavyokaa watu wengi tu Lang'ata, nitafutie hapo Dar. Achilia mbali kibera ambayo haina mfano niambie maisha yalivyo E3? Bahati estate hali ikoje.
Hapo Dar es salaam ushawahi kutana na ombaomba anakulazimisha umpe pesa na usipompa anakupaka Mavi kama ilivotaka kunitokea Ngong road?

Makadara na Kariobangi iwe south au North Maisha yakoje? Nchi gani watu mnaandamana kugombea hadi kazi ya Makanga(kondakta)

Mmebakia kuwa watumishi w maeneo machafu kama riverroad, unajua nakuangalia hado nakushangaa.

Nyumba za Tanzania ni zetu, tumejenga wenyewe hebu fika kwa wakenya wenyewe wanakoishi kama hutokimbia?

Upo Tanzania unafurahia kuishi na Kiswahili chako kimekuwa kizuri, heshimu hii nchi kijana kwenye huko mnaibiwa kila siku na sasa tushashtuka mtakuja kuamka kuwa Mnaishi Kenya kwa kupanga Tanzania itakuwa iko mbali sana
 
Teargass zawadi yako [emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]

Ichoboy

Nicheke kwanza hahahahahaha
Nimetua zangu jana hapa Mwanza na hivi tunavoongea nimeshuhudia makontena kama hamsini yako Uganda yakiwa hapo stesheni

Hawa tushawashika Pumb..zao, yaani hawachomoki.
 
Ichoboy

Nicheke kwanza hahahahahaha
Nimetua zangu jana hapa Mwanza na hivi tunavoongea nimeshuhudia makontena kama hamsini yako Uganda yakiwa hapo stesheni

Hawa tushawashika Pumb..zao, yaani hawachomoki.
Hehehe na tumeanza kupeleka makontena uganda sasa ni mwaka mzima wenyewe hawana habariπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wameanza kumalizana sasaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…