Hiv wew ni mwanamke?ATCL tulianza na kusafirisha minofu kaishia wapi?
Tukaanza safari za Chato kaishia wapi?
Tukaingia Entebbe kaishia wapi?
Tukaingia Harare na Lusaka kaishia wapi?
Tukakuruouka Hadi Oliver Tambo kaishia wapi?
Tumekurupuka kukata nyuzi Mumbai sijui tutaishi wapi?
Sasa naona tukimbilie kwenye Safari za huko mbala mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni dume lakini hana tofaut na anty chande😆😆😆Hiv wew ni mwanamke?
Kwa sababu jeshi sio la biashara mjinga wewe.Acha kukariri, kama serikali haiwezi kuendesha kitu kwa nini Jeshi lenu lisiwe private?
Na hiyo hiyo budget ya 2019/2020 inayo madeni pia yaani budget deficit...hivyo ni kusema hizo ndege zimekopwa.Remember the 2017 seizure of your ATCL aircraft over debts?Madeni kwani kakopa? Ametenga fedha kwenye budget 2019-2020! Budget ya 2020-2021 another 3 aircraft!
Budget deficit ya Tanzania below 3% ni chini ya Kenya 5.7%!Na hiyo hiyo budget ya 2019/2020 inayo madeni pia yaani budget deficit...hivyo ni kusema hizo ndege zimekopwa.Remember the 2017 seizure of your ATCL aircraft over debts?
GoT is to be issued ownereship of nearly 50% of Acacia Gold!Shamba la bibi kweli. Yaani mzungu aliwacheza akili hadi mkakubali kupunguza US$190B tax bill hadi US$300M? 😂 anyway hongereni.. Bado pesa nzuri tu
Karibuni Sana Bora mlipie kodi za kupaki Ndege uchumi wetu uongezeke.Nairobi tunaingia Desemba tutawapokonya wateja wa KQ mkae mkao wa kuisoma namba 😄😄
Makampuni matatu makubwa kabisa kati ya matano duniani yanamilikiwa na serikali. Unalijuwa hilo?Kwa sababu jeshi sio la biashara mjinga wewe.