Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Not on a constructions details, I want to see that wind turbine physically. Can you upload a photo of that building which shows the wind turbine on the tower physically?
Chill out, utaiona tu, first iangalie kwa renders ama youtube, iko na ndio currently inajengwa, ulisema ni lightning arrestor ama communication tower sio?
 
Not on a constructions details, I want to see that wind turbine physically. Can you upload a photo of that building which shows the wind turbine on the tower physically?
You understand that the building is still work in progress i believe....
 
site preparation na foundation kuchimba imeanza 2014 so wanachimba 3 and ahalf years serious???😀😀😀😀😀😀😀😀
ojey mimi kwa sasa siko kenya ila nakwambia hio project imesimama muda mrefu sana na utaamini maneno yangu
Hass Tower kuchimba ilianza last year after approval wewe nimekuambia shida yako nikujifanya pumbavu, hio Jeddah tower ya Saudi Arabia mpango ulianza 2007. Hata hass wakichimba miaka kumi shida yako ni ipi hapo? How does it even concern you?
 
chukua kitambaa ujipanguze machozi. najua yakuuma
1494502214871.jpg

Kweli nitoe machozi kwa mnara wa Babel ,embu ona utofuati apo
 
Hass Tower kuchimba ilianza last year after approval wewe nimekuambia shida yako nikujifanya pumbavu, hio Jeddah tower ya Saudi Arabia mpango ulianza 2007. Hata hass wakichimba miaka kumi shida yako ni ipi hapo? How does it even concern you?
wewe funga mdomo wako hass wameanza kuchimba toka 2014 na nilianza kusziona same pics munazoonesha leo ndio maana nakuuliza 3 and ahalf years munachimba foundation tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
leta evidence sipendi wanauume wakuropokwa mimi.
 
That's when the thread was started kumbe ni kizungu hujui kusoma, anyway kalisha haga dar ungoje matokeo.
 
the thread was started na site preparation started na kuchimba foundation ilanza same period 2014 na mimi nilikua nafatilia sana skyscrapercity za nchi za africa ,ndio maana nakuuliza 3 and ahalf years munachimba foundation😀😀😀😀😀😀😀
kubali usikubali am telling u huo mradi umesmama muda mrefu sana
 
Africa's first Super Tall.

naoana ulihamia Nairobi, karibu sana.
 
Africa's first Super Tall.

naoana ulihamia Nairobi, karibu sana.
mm mfatiliaji mzuri wa nchi zote africa sio tu dar au nairobi pia luanda,rabat na nchi zingine zinazoendelea kwa kasi so ondoa hofu juu ya hilo ila nakwambia huo ujenzi wa hass umesmama siku nyingi sana😀😀😀😀😀
 
wanabaa la njaa alafu unga 1kg 200 ksh watakufa hawa ndio maana project zao zimanza kusimama moja baada ya moja😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Bunge lakenya limeshtuka eti wamepitisha mafedha rukuki kununa Mahindi
hahaha kipindi hiki cha uchaguzi najua Mafisadi wataziponda
na wakenya kupumulia Makalioni!!!
Bei ya Sukari Kenya ni Mara 2 ya bongo
 
siwameua viwanda vya sukari vyote mumias na kadhalika sijui nzoia, wananua sukari kutoka uganda
 
mm mfatiliaji mzuri wa nchi zote africa sio tu dar au nairobi pia luanda,rabat na nchi zingine zinazoendelea kwa kasi so ondoa hofu juu ya hilo ila nakwambia huo ujenzi wa hass umesmama siku nyingi sana😀😀😀😀😀
unajiaibisha sana...hivi unajua kina cha excavation ya hass?kama hujawai fika nairobi nyamaza.since excavation started there is no single day without activity at that site.kilo za mawe zinatolewa apo sio mchanga tena.kua mpole
 
Back
Top Bottom