Zawadi yako[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] dege eco
View attachment 1146244View attachment 1146245View attachment 1146246View attachment 1146247View attachment 1146248View attachment 1146249View attachment 1146250View attachment 1146251
View attachment 1146255
View attachment 1146256
View attachment 1146263View attachment 1146264View attachment 1146265
Hapa nakubaliana na wewe kabisa,miti inapendeza sana kwakwel,unapata kivuli mingine matunda inapunguza joto na hewa inakua safiSafi sana... Nashangaa kwa nini Mwenzako ichoboy alisema nimehamia picha za miti. Ni Kama hajui kwamba miji zinavutia duniani zote ziko na lots of green spaces and recreational parks. A good city is not just about tall glass buildings
zingekuwa picha za Nairobi tungeambiwa vile tumejaza filtersThere's just something about this city.........
View attachment 1146687View attachment 1146688View attachment 1146690View attachment 1146691View attachment 1146692View attachment 1146693
Tunazo real na sometimes we get artistic. Nyie kila muda ni filters lazima tuwaambie ukwelizingekuwa picha za Nairobi tungeambiwa vile tumejaza filters
Dar Es Slam ni kubwa tu kwa wingi wa watu lakini sio kubwa zaidi kimaendeleozingekuwa picha za Nairobi tungeambiwa vile tumejaza filters
Alisikika ndezi mmoja akisema hayaDar Es Slam ni kubwa tu kwa wingi wa watu lakini sio kubwa zaidi kimaendeleo
Maendeleo gani unayozungumzia wewe? Mna hata mass transit nyie kama BRT? si mnahangaika na matatu kila siku hadi zinakuwa banned kwenye CBD au sio nyie? Maendeleo hayapimwi kwa mdomo au kwa maghorofa bali kwa facilities za infrastructure zilizopo kwenye jiji, public spaces, security, education centres etc. Fikiri kabla haujaongea tafadhali.Dar Es Slam ni kubwa tu kwa wingi wa watu lakini sio kubwa zaidi kimaendeleo
Dar haina miti au sioππππDar haina miti. Unaweza kuomba usaidizi kutoka Arusha, umekubaliwa
Kilifi county hakuna stima for 2 weeks alaf munafurahia na kushangilia jubileeπππBwahahaaaa!!!dalili za kushindwa hzo[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Safi sana... Nashangaa kwa nini Mwenzako ichoboy alisema nimehamia picha za miti. Ni Kama hajui kwamba miji zinavutia duniani zote ziko na lots of green spaces and recreational parks. A good city is not just about tall glass buildings
Nahisi ndio akili yako ilipoishiaππππDar Es Slam ni kubwa tu kwa wingi wa watu lakini sio kubwa zaidi kimaendeleo
Hiyo rangi sio pink. Uelewa wako wa mambo ni finyu sanaNimekwambia miti ya rangi hio pink imejaa arusha na moshi unajifanya kichwa ngumu ila utaelewa tuππππ
Nani anasema dar hakuna miti?Hiyo rangi sio pink. Uelewa wako wa mambo ni finyu sana
Purple auπππ yani mkenya ni mtu fala sanaHiyo rangi sio pink. Uelewa wako wa mambo ni finyu sana