Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And yet according to the world bank Dar's real estate is $3bn more than Nairobi's. Who should be honest to whom?
 
Bwhahaa...na group kenya facebook..
Mko insecure sana. Mlisema oh mtaondoka kwenye huu uzi, oh mara wengine wakasema "hatuwezi rudi misri" 😂 😂 ila leo mko hapa. Lazima Tanzania iwawashe siku zote yaani kiufupi hamtaki kukubaliana na hali halisi ilivyo ndio maana leo pamoja na kukana mko humu mkibishana na sisi.Huu uzi ni mtakuja.
 
Bwahahaaaa...nimekubana...usijali..nitakuachia
 
Bwahahaaaa...nimekubana...usijali..nitakuachia
Hizo ni idea zako za kujiconsole. Niliwahi kuwa captain wa debating team mashuhuri middle school, high school na my first year of college. Nina uzoefu wa kuargue na binadamu wa aina zote ikiwemo wale wanaojitia ukichaa. Nipo hapa, give it your best shot but I gotta warn you, huwezi kuukimbia mkono wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…