Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia kukwambia tena ninachokiona hapo ni CBD ya nairobi kwa ushauri nakupa leta mombasa nairobi na kisumu mm niko tayari twende kaziπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1137849
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hujaona tallest building in East and Central Africa?
Hio hapo kushoto Tena in Westlands.
Hebu nikumbushe urefu wa zile 3 towers zenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hujaona tallest building in East and Central Africa? View attachment 1137850
Hio hapo kushoto Tena in Westlands.
Hebu nikumbushe urefu wa zile 3 towers zenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Westland bado sana budaa yani bado sana hata upprhill bado kabisa yani density yenu ipo CBD tu hakuna sehemu kuna densityπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hujaona tallest building in East and Central Africa? View attachment 1137850
Hio hapo kushoto Tena in Westlands.
Hebu nikumbushe urefu wa zile 3 towers zenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Density ya nairobi iko hapa tena na yenyewe ni slum piaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wasikize ImF walijileta wenyewe kwa jembe kuomba radhi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Wasikize AFDB[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Bado hujaleta hesabu za IMF niziona km zinaendana na zile zako ukazipiga kihusu kenya....bwahahaaa...

Am waiting
 
Narudia kukwambia tena ninachokiona hapo ni CBD ya nairobi kwa ushauri nakupa leta mombasa nairobi na kisumu mm niko tayari twende kaziπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1137849

Westland bado sana jengeni kwanza mupunguze mapori na vichaka
Nimekubali.
Sasa kwa hii hapa unaona CBD wapi?
 
Attachments

  • tapatalk_1556917320270.jpeg
    86.4 KB · Views: 33
Bado hujaleta hesabu za IMF niziona km zinaendana na zile zako ukazipiga kihusu kenya....bwahahaaa...

Am waiting
Sina muda huo ushahidi wote nishakuletea tena wa ndugu yakoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜€πŸ˜€
Baada ya kutoa report walikuja kuomba msamaha kwa jembe tena boss mwenyeweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Sasa ww niletee ushahidi kua baada ya report ya IMF kua kenya inaongeza thaman ya prsa yake kwa asilimia 30 kua wamekiri wamekosea
 
Ndio akili yako ww ilipoishia πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† britam sio ndefu tena πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Uko nyuma babaa, siongei juu ya Britam, naongea juu ya hili Jumba halijakamilika ila bado ni ndefu already at 45 floors...towers zenu tatu ni less than 35floors
 
Hehe nchi maskini, KCB saidia tu if the government can't support
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…