Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]muungano hoyeeee....
Kenya ni one man army...kwanza vp yule mbunge aliyekamatwa nje ya nchi(zanzibar) na kuzuiliwa katika uhamiaji[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
So hutaki zanzibar iwe tanzaniaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† au hujui mombasa pia ni muungano???
 
Bwahahaaaaa!!!muungano na wapi[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]want to split...bwahaha...nafikiria utaleta watu wanataka muungano uvunjwe km wazanzibar


Hv nikuulize...rais wa mombasa alikuwa nani na ilipata uhuru lini mwana historia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Au hujui maana ya splitπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yaonesha muumgano wa tanzania unakuuma sana hii bendera ya wapi hebu niambieπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



Naona munasuzika kuskia muumgano wa tanzania sasa una miaka zaidi ya 60πŸ˜†πŸ˜†
 
Bwahahaa!!hta honkong ilikuwa china na imejitenga...bt haimaanishi km hongkong haikuwa china...ila hili la zanzibar...mpka uhuru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Au hujui maana ya split[emoji38][emoji38][emoji38] yaonesha muumgano wa tanzania unakuuma sana hii bendera ya wapi hebu niambie[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1137713
 
1964 muumgano ukapatikana ndio tanzania ikazaliwa
Tanganyika + zanzibar = tanzaniaπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tena tumepewa bure hakuna cha mkopo unajua kwanini??? Nenda usome history ya tanzania na china alaf utajua kwann wachina wako tayari kuipa tanzania pesa bila masharti tofaut na kenya πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kilichokuuma ni kwamba nyie hamujaambulia kitu mpaka sasa hviπŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]...asante sana kw kukubali km zanzibar na tz si nchi moja..bali ni muungano tu..

Ni sawa mtu aseme wales na England ni nchi moja kisa zote zipo united kingdom[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1964 muumgano ukapatikana ndio tanzania ikazaliwa
Tanganyika + zanzibar = tanzania[emoji116][emoji116]View attachment 1137719
 
Si eti anawapenda...ni kawaida ya ldc kusaidiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kisha eti mnakuja hapa kusema pesa za ndani...kumbe ni misaada ..
 
Ni nchi moja au hujui kama tanzania imetokana na tanganyika na zanzibar tatizo lako hupendi kuona muungano uliodumu zaidi ya miaka 60 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Na CCM ndio chama kinachotawala kote zanzibar na tanzania bara au hujui pia hiloπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Si eti anawapenda...ni kawaida ya ldc kusaidiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kisha eti mnakuja hapa kusema pesa za ndani...kumbe ni misaada ..
china kuipa pesa tanzania tena bure hio ni hiari ya wachina hatujawalazmisha ni mapenzi yao kwasababu wanakumbuka fadhila za nyerere juu yao

MLDC hii hapa pesa ya kulipa fidia kwa watu wenu hamunaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Ona ujinga mlioachiwa na kenyattaπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hawajaanza china pekeake...hata japan waliwapa donation ya tazara...bwahaha..

Hyo tweet yako wapi inasema kenya hawana uwezo wa kulipa fidia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bwahahaaaa....jiulize kwanini mnajiita united republic of tanzania...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ni sawa na kusema UK ni nchi...wuhuhuuuu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…