Tanzania na Kenya sio ndugu, ila ni majirani tu, Tanzanian ndugu zetu ni SADC countries na Uganda, hao tuliwakomboa toka mikononi mwa wauwaji. Kenya ndugu zenu ni Somalia na South Sudan.
Nimeeka coastal, auric, tanzan air, tropical air, flight link, precision
Usilazimishe undugu na sisi, Tanzania ndugu zetu wa damu ni SADC kwasababu walipokua na shida tuliwahifadhi tukagawana kidogo tulichopata, tulikwenda kupigana hadi tukawakomboa wakarudi katika nchi zao wakiwa huru, huo ndio udugu wa kweli. Undungu ni kusaidi katika shida na raha, sio kupakana.Ubishi wako haubadili chochote,licha ya kua Kwa muungano wa sadc huna uhusiano wowote na mtu wa southern Africa.yapo makabila kenya na pia yanapatikana Tanzania hao ni mandugu hadi Yesu arudi.
Huo ndio ukweli japo wakenya hamuupendi, mnataka tuwe na undugu ili muendelee kuwa na uhakika wa chakula.Povu la kimataifa
hahahahahahha, hamuna vya bure miaka hii, waambie hao kunyalandHuo ndio ukweli japo wakenya hamuupendi, mnataka tuwe na undugu ili muendelee kuwa na uhakika wa chakula.
Kwa matumaini gani mlionayo😆😆😆😆Mbna chache sana...hazifikii hta robo ya kenya
Acha porojo buda, weka list ya kampuni za ndege hapa sio unatuletea randomlyHeri ziwe kuukuu lakini tunazo kuliko nyie ambao mnatubeza na hamna.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Acha porojo buda, weka list ya kampuni za ndege hapa sio unatuletea randomly
Naona ushaanza kua na akili sasa😆😆😆👏👏Camera kali sana hyo mkuu[emoji106]
😵