Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lamu patamu mwanangu dah! Hahahaaaaaaa heri wamefanya Jambo la busara kukimbia maana hapa pangechimbika , hawana la kujikaza hapa maana wangekufa bure chambilecho waswahili anayejikaza kisabuni anakufa na tai shingoni.
 
Lamu patamu mwanangu dah! Hahahaaaaaaa heri wamefanya Jambo la busara kukimbia maana hapa pangechimbika , hawana la kujikaza hapa maana wangekufa bure chambilecho waswahili anayejikaza kisabuni anakufa na tai shingoni.
Hhhhhhhh!!![emoji1787]eti kaitaja lamu...ywafikiria lamu ni km ile mikoba yao...ametoroka na haja quote tena
 
Hawa ni wakulima was mdomo tu, unafikiri kinyesi, utapiamlo na nyama za zeruzeru wanabugia kwa kutaka?
NYI NYI WATANZANIA MLIINGIAJE AFCON... MNATOA JASHO LAKINI HAMNA KITU... BADO HAMJAFIKA KIWANGO CHA KUCHEZA AFCON... YAANI UPUZI WENU NI KUSHINDANA NA WA KENYA.. ONENI SASA AIBU MNAYOJILETEA.
YAANI NYINYI AKILI YENU INAISHIA KWA YANGA NA SIMBA.. ZAIDI YA HAPO JAMENI HAMUWEZANI.
NA UTA WADIKIA MARA OH UWANJA WETU MKUBWA NYEF NYEF
 
Tupo vitani tuacheni tupambane na miamba hii ya Africa
 
Huna jipya baba....bwahahaaaa....usafiri wa nga mko down bro...middle class kwenu ni kiduchu...maskini ndo wengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini usishangae kq inayomiliki ndege 3πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Waliwalipa waganda ndio wakawawachia ile game ,unaikumbuka?
 
Flight linkπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…