Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi pia naishuku sana...mannake hamna mtanzania mwenye akili zile walai...
Mtanzania yeye hufikiria stendi tu...hataki lounge wala nn....

Mwengine kasema waenda pale stendi wachagua basi unalotaka wakatiwa receipt yako na safari inaanza....yani nilicheka sana...
 
Walishangaa kuona turkana iko na hospitali ya maana,vivutio vya utalii na pia kuna airport...hawaamini macho yao haki ya nani
Hawa wanajua umbea wa vijiweni kama pale sinza mambo ya maendeleo wapi na wapi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Walahi hawana akili.
 
Hawa wanajua umbea wa vijiweni kama pale sinza mambo ya maendeleo wapi na wapi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kila kitu kwao wanakariri..hadi nashangaa walai...wameichukulia turkana poa eti...next time ni mandera...na deal nao na northern kenya tu...hko wanapo padharau...ni aibu kulinganisha county za hku southern kenya na mikoa ya tanzania...

Level yao kimaendeleo ni northern kenya tu
 
Amekimbia ndugu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika mikoa yao watu wanaishi maisha ya kuhuzunisha halafu anakuja hapa kumuaga povu na kitecno chake.
 
Katika mikoa yao watu wanaishi maisha ya kuhuzunisha halafu anakuja hapa kumuaga povu na kitecno chake.
Kuna jamaa kaja hapa ka post vijumba vya geti viwili vitatu eti ywasema nimuonyesha kijiji km hicho kenya...hku kasahau km hajapachika jina ya hicho kw kuhofia kuumbuka
 
Kuna jamaa kaja hapa ka post vijumba vya geti viwili vitatu eti ywasema nimuonyesha kijiji km hicho kenya...hku kasahau km hajapachika jina ya hicho kw kuhofia kuumbuka

Vijiji vya Kenya ni Vibaya sana, Hamjui kujenga nyumba, Poor housing, Kule pwani vile viblocks sijui mnaokotaga wapi, Very ugly..
Kwani hamiwezi tumia blocks za cement? Au you are too poor to afford.
 
Kuna jamaa humu anasema Dar Lux ni ya Mkenya
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…