πππ Hawa Wakenya kitu kilichowafungua macho ni hii mitandao hasa JF kichwani kwao wanajua Tanzania ni nchi ya ajabu sana wakija kuujua ukweli wanabaki wametahamaki, Bukoba ni next levels, ni miji mingi sana ya Kenya hauwezi linganisha na Bukoba.Jamaa alikuwa anataja taja maeneo ya tz bila kuyajua ameishia kuuumbuka mwenyewe.
Ameitaja Bukoba eti kisa iko mbali na dar.anataka alinganishe na turkana iliyombali na Nairobi [emoji38][emoji38][emoji38]
Bukoba town wakati wa usikuView attachment 1134412
πππ Hawa Wakenya kitu kilichowafungua macho ni hii mitandao hasa JF kichwani kwao wanajua Tanzania ni nchi ya ajabu sana wakija kuujua ukweli wanabaki wametahamaki, Bukoba ni next levels, ni miji mingi sana ya Kenya hauwezi linganisha na Bukoba.
πππ Huyu jamaa Leo atalala na viatu sababu sio kwa nondo hiziNaona umekausha baada ya kuiona Bukoba.
Hiv maeneo kama haya utayapata wap nje ya Nairobi.
Hebu burudika na Mitaa ya Bukoba. Nasubiri tulkana.View attachment 1134423View attachment 1134424View attachment 1134425View attachment 1134426View attachment 1134427View attachment 1134428
the view from Palm residence
See the raid work along Barack Obama Drive , All those big trees gone, The road to connect Selander Bridge .
View attachment 1134416
View attachment 1134417
Haya mabasi ambayo Bukoba ni just school buses, huko Kenya kuna counties ambazo hawajawahi kuyatia machoni wakati Tanzania ni buses za kubeba watotoAhaaa haaa haaa
HALAFU katika ukanda wa EAC hakuna watu wanaosafiri sana tena kwa mabasi MAZURI na BARABARA nzuri kama huko home Tanzania.
Unaniletea hoteli mm...bwahahaha...kisha eti unasema nje ya nairobi...kemu fungua uzi uone hyo bukoba mkoa tukupe county moja tu ukimbie...Naona umekausha baada ya kuiona Bukoba.
Hiv maeneo kama haya utayapata wap nje ya Nairobi.
Hebu burudika na Mitaa ya Bukoba. Nasubiri tulkana.View attachment 1134423View attachment 1134424View attachment 1134425View attachment 1134426View attachment 1134427View attachment 1134428
Wah...sijaona comment ya kipumba km hii...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]anayesema n mtu wa kutoka nchi yenye kielimu ni zero kabisaHahaaa jamaa alikua anabipu faya, hajui kua mkoa wa Kagera ni eneo linaloongoza kwa kutoa maprofesa wengi kuzidi eneo lolote lile Afrika ya mashariki
Jibu swali kijana...wacha pumbaAsilimia kubwa Tanzania wanatumia closed sewerage system. Yaani kila mtu anakuwa na shimo lake kwenye plot yake.
Katikati ya miji (CBD) mikubwa kama Dar, Mwanza, Tanga etc wanatumia open sewerage system. Yaani kuna mabomba ya maji taka yanaelekea sewerage pond.
Fungua uzi...yani...wacha hasira..Hakuna kampuni ya buses Kenya inayoizidi Tahmeed, kama ipo tafadhali onyesha buses zake, nje na ndani.
Wuhuhuuuu!!!mbna ya kawaida tu hayo...kemu kisha tuletee ya shule za serikali nicheke kidogoHaya mabasi ambayo Bukoba ni just school buses, huko Kenya kuna counties ambazo hawajawahi kuyatia machoni wakati Tanzania ni buses za kubeba watoto View attachment 1134457View attachment 1134458
Hebu sindano ikuingie.Kwhyo paris hamna jam...
Huhuuuuu!!!endelea kujiliwaza na mahotel...hta lodwar zipoHebu sindano ikuingie.
Bukoba north west Tanzania 1500 km from darView attachment 1134470View attachment 1134471View attachment 1134472View attachment 1134473View attachment 1134474View attachment 1134475View attachment 1134476View attachment 1134477View attachment 1134480View attachment 1134479View attachment 1134478
Hiv Bukoba ni mkoa? Tuanzie Hapo Kwanza.Unaniletea hoteli mm...bwahahaha...kisha eti unasema nje ya nairobi...kemu fungua uzi uone hyo bukoba mkoa tukupe county moja tu ukimbie...
Yani kw akili yako nairobi ndiyo ina maandhari mazuri kenya nzima..kumbe huijui kenya wewe...nasubiria uzi bukoba mkoa halafu uwaulize wakenya wakuletee vitu zaidi ya hvyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu we ni mtu wa porojo Sana.Wuhuhuuuu!!!mbna ya kawaida tu hayo...kemu kisha tuletee ya shule za serikali nicheke kidogo
Leta hata lodge moja mkuu?Huhuuuuu!!!endelea kujiliwaza na mahotel...hta lodwar zipo
Tuoneshe tucheke plzππππHuhuuuuu!!!endelea kujiliwaza na mahotel...hta lodwar zipo
Hapa ni kahama pia karibu na BukobaHuhuuuuu!!!endelea kujiliwaza na mahotel...hta lodwar zipo
Nakuonea huruma kijana, ungekua unajua jinsi wenyeji wa mkoa wa Kagera walivyopiga shule ungefumba bakuli lako.Wah...sijaona comment ya kipumba km hii...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]anayesema n mtu wa kutoka nchi yenye kielimu ni zero kabisa
Nakuonea huruma kijana, ungekua unajua jinsi wenyeji wa mkoa wa Kagera walivyopiga shule ungefumba bakuli lako.Wah...sijaona comment ya kipumba km hii...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]anayesema n mtu wa kutoka nchi yenye kielimu ni zero kabisa