Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 1131681
kwani umeambiwa mi msomali?
Kaka mtanzania nakuheshimu sana kwa kutambua hili ...huu ndio mwanzo wa kusonga mbele tambua hali yako na kuikubali Kisha weka mikakati ya kujiinua.. Kuna sehemu kadhaa ambazo tz imeishinda Kenya kama vile kiswahili sanifu.. Nchi kubwa.. Amani.. Uimbaji.. Kwa haya niliyo ya taja.. Ukimsikia mkenya yeyote akijisifu Kwa haya.. Huyo basi ni mpumbavu...kwa hiyo tukubali ya kuwa Kenya iko Juu ya tz Kwa mambo kama bara bara, majengo.. Uchumi nk
 
Umeogopa ukipata hospital kubwa ya kisasa kama hii yenye over 1000 beds nje ya nairobi nitag[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
Fungua uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fungua uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sina muda wakufungua uzi sio kazi yangu hio kama huwez kulet hispital ya kisasa kama hii nje ya nairobi yenye 1000beds pole yakoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Unataka kushindana na tanzania kwenye hospitals utapasuka budaaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…