Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jogoo road /outering road junction nairobi kenya.
wee tanzajingans mwaona ni lanes ngapi hizo...nane nane
 
southern bypass nairobi kenya
 
buu buru nairobi kenya
 
HII NDIO CBD .......UPPER HILL AND WESTLANDS ZIKO MBALIIIIIII

Yaani tangu lini mtanzania akamuuliza mkenya Kama eti ameeingia darasani! Wakati nyinyi kuzungumza kizungu Shida tupu.. Kustawisha uchumi Shida tupu..watanzania wengi huja Kenya kwa Masomo ya Juu
 
View attachment 1130848
HII NDIO CBD .......UPPER HILL AND WESTLANDS ZIKO MBALIIIIIII
View attachment 1130849
Tutajie distance ya kutoka hapo unaposema CBD na Upper Hill
Pia CBD na Westlands

Maana West na Upper Hill ndo sehem zilizojengeka ipasavyo NBO ukishatutajia au kutuonyesha huo umbali then uje hapa utafute au utafutiwe sehem zilizojengeka same to Upper Hill na Westlands

Halaf kuna kitu tutakuambia
 
Kwenda ka google Utapata jibu mwafaka
 
Yaani tangu lini mtanzania akamuuliza mkenya Kama eti ameeingia darasani! Wakati nyinyi kuzungumza kizungu Shida tupu.. Kustawisha uchumi Shida tupu..watanzania wengi huja Kenya kwa Masomo ya Juu
eti kuongea kizungu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

yaani wewe ni lijinga sana.ndio maana gdp kubwa ila iko mifukoni mwa watu watatu.
 
Mambo ya shule yameingia vepeee budaa? Mbona unajibebisha hivii dada angu? 😁😁😁😁😁
 
eti kuongea kizungu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

yaani wewe ni lijinga sana.ndio maana gdp kubwa ila iko mifukoni mwa watu watatu.
😁😁😁 Afu hata haoni aibu kabisa eti anasema kuongea "kizungu" lenyewe jeusi kama matako ya gorilla halafu anashobokea lugha za wasiemtambua 😁😁😁 bora hata angesema kuongea kiluo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…