Utaponda mpaka ukomeHatuna uhuru wa habari...just chill bro hapa wataanzaa
Matusi
City hall....next ni sonko![]()
__________________
Unaandika nn asee....nani kaponda?sipo kwenye chama chochote na hata serikali hainiletei chakula kwangu.Utaponda mpaka ukome
Ila CCM hawangooki
Mpaka wapinzani wawe na democrasia
Af uhuru wa habari tunao
Ila hamna uhuru wa kugushi mambo
Not like before ambapo mwanahabari anaponda ki2 bila ushaidi
Kuichukia kwako serikali haisaidii chochote maana ata ghadaff akija kutawala tanzania hatokuletea chakula
Wewe dogo tumeshakujua.Unaandika nn asee....nani kaponda?sipo kwenye chama chochote na hata serikali hainiletei chakula kwangu.