Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
View attachment 1130585
thika road... ten lane road
View attachment 1130585
thika road... ten lane road
Nataka kusema unajudge kwa kuangalia picha humu. Unajudge kupitia picha zenye filters huku ukiisanifu nchi yako. Damn, najua huu si ushindani wala nini ila watu kama nyie ndo mnasababisha kuwepo kwa mashirika ya kijasusi duniani.ndio unataka kusemaje
Taifisheni mali yake basi km ni raia haramu..eti jamaa anatukanwa kisa maoni yake hayaendani na yako....upupu mtupu hani...khaaaKwahio address yako ikionesha uko Tz huwezi kuwa mkenya? Mpo wengi Tz tena mnaongea Kiswahili kilichonyooka.
Sasa edit hzo picha uzilete uone km zitaendana na zile alizokuletea...bwahahaa...povu rukhsaNo filter [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1130539View attachment 1130540
sijakuelewa aiseNataka kusema unajudge kwa kuangalia picha humu. Unajudge kupitia picha zenye filters huku ukiisanifu nchi yako. Damn, najua huu si ushindani wala nini ila watu kama nyie ndo mnasababisha kuwepo kwa mashirika ya kijasusi duniani.
..nasababishaje kuwepo mashirika ya kijasusi andika basi uelewekesijakuelewa aise
Nasema kwamba unafanya conclusion kwa kuangalia picha hapa jf au umeshaenda kenya na ukaona?sijakuelewa aise
Unaisaliti nchi yako. Unaruhusiwa kusema chochote utakacho lakini kuidharau nchi yako ni utumwa..nasababishaje kuwepo mashirika ya kijasusi andika basi ueleweke
siwezi nikaandika kitu nisichokijua unafikiri kila mtu anasubiri kusimuliwa kama wewe? Huu ni uzwazwa mnaofanya hapa mnalinganishi hii miji ili mgundue nini hasa?Nasema kwamba unafanya conclusion kwa kuangalia picha hapa jf au umeshaenda kenya na ukaona?
naona umekuja leo humu na unaona kuwa umefika sana. Hatulinganishi miji na hilo ndio kosa wengi huwa wanafikiri kuhusu hii thread. W akati wakenya wamekimbia hii thread kulikuwa na utulivu sana na Watz tulikuwa tunapost vitu vinavyohusu maendeleo ya TZ. Wamerudi wanataka competition and guess what? we bring it on! kama unawashwa kuargue, karibu hapa umefikasiwezi nikaandika kitu nisichokijua unafikiri kila mtu anasubiri kusimuliwa kama wewe? Huu ni uzwazwa mnaofanya hapa mnalinganishi hii miji ili mgundue nini hasa?
halafu bila aibu kabisa unaandika naisanifu nchi kati yangu na wewe nani anaisanifu nchi yake sasaNataka kusema unajudge kwa kuangalia picha humu. Unajudge kupitia picha zenye filters huku ukiisanifu nchi yako. Damn, najua huu si ushindani wala nini ila watu kama nyie ndo mnasababisha kuwepo kwa mashirika ya kijasusi duniani.
Na kumsifia mtu kupindukia ni uzezetaUnaisaliti nchi yako. Unaruhusiwa kusema chochote utakacho lakini kuidharau nchi yako ni utumwa
Hivi umeingia darasani kweli? nimekwambia kuwa sisi hatuna haja ya kushindana na mtu bali huwa tunajadili mambo ya msingi kuhusu maendeleo ya hii nchi lakini dakika ambayo mkenya anakanyaga humu, huanza kudhihaki nchi yetu na kuleta propaganda zisizo na mashiko. Unataka tukae kama midoli? peleka ukichaa wako milembe. Kila mtu humu ni mtu mzima na hauna jurisdiction yoyote kuamua nani afanye ninihalafu bila aibu kabisa unaandika naisanifu nchi kati yangu na wewe nani anaisanifu nchi yake sasa
kama kulinganisha miundombinu miradi ya kupigwa ndo umeona issue nakuhabarisha kwamba ndiyo sanifu yenyewe hiyo sasa badilikeni nyie manyumbu wote wa nairobi na dar acheni mipasho jadilianeni vitu vya msingi
sina haja ya kubishana na wewe leo kwa hiyo tafadhali kaa nje ya maongezi yangu na huyu nguruweNa kumsifia mtu kupindukia ni uzezeta
unaweza ukawa humu hata miaka ishirini na usiwe na wazo lolote la msingi,heading tu yenyewe ni battle au hata uelewi unachangia nini?naona umekuja leo humu na unaona kuwa umefika sana. Hatulinganishi miji na hilo ndio kosa wengi huwa wanafikiri kuhusu hii thread. W akati wakenya wamekimbia hii thread kulikuwa na utulivu sana na Watz tulikuwa tunapost vitu vinavyohusu maendeleo ya TZ. Wamerudi wanataka competition and guess what? we bring it on! kama unawashwa kuargue, karibu hapa umefika
sawa hata mashoga wanadai hako zao na kuna ngo zinawatetea upo sawa kabisaHivi umeingia darasani kweli? nimekwambia kuwa sisi hatuna haja ya kushindana na mtu bali huwa tunajadili mambo ya msingi kuhusu maendeleo ya hii nchi lakini dakika ambayo mkenya anakanyaga humu, huanza kudhihaki nchi yetu na kuleta propaganda zisizo na mashiko. Unataka tukae kama midoli? peleka ukichaa wako milembe. Kila mtu humu ni mtu mzima na hauna jurisdiction yoyote kuamua nani afanye nini