Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi ya Sumry hiyo moja ya makampuni ya kizalendo yenye makao makuu sumbawanga
Of course good job but serikali kama iko xriac ku win potential ya drc no lazima izijenge bandari za kabwe,new kipili port,kasanga,Karema na Kigoma sanjali na barabara za kufika huko bandarini,pili road ya Matai to Zambia
 
Kwani upo Dunia ipi? BTW it's sanjari and not sanjali!
 
Nyang'au wanajitia kukakamaa tuu ila kiukweli wanakubali kuwa kasi hii hawaiwezi.
- SGR
- Rufiji dam
- MGR
- ndege
- terminal 3
- daraja la cocobeach
- flyover
- barabara
- BRT
- Meli
- bandari
Hizi zote zinafanyika kwa wakati mmoja.
Wabongo wanavyoongea as if wengine wamesimama,too late to catch up kumbuka watu wana GDP ya 100bln dolari sio leo au kesho kufikia hapo
Kila statistics inayotolewa inaiweka Tzn nyuma sana kwa Kenya ko muda wa kukenua meno bado sana
 
Hua napenda sana wakenya wakiongelea GDP maana huo ndio ujinga uliopo akilini mwao hahahaga na huo ujinga ndio utafanya mkija kuamka tz itakua yaaniii hahahahah yajayo yanafurahisha
 
Huku ni kujifariji ndugu,100bln economy inakua kwa 6% huku 55bln economy inakuwa kwa 7%
Hivi mko xiriac kweli nyie ldc,mtakimbiza mwizi hadi mfe njiani bila kumkamata
 
Hiyo 100bn economy inayokua kwa asilimia 6 ni ya nchi gani
 
Wabongo wanavyoongea as if wengine wamesimama,too late to catch up kumbuka watu wana GDP ya 100bln dolari sio leo au kesho kufikia hapo
Kila statistics inayotolewa inaiweka Tzn nyuma sana kwa Kenya ko muda wa kukenua meno bado sana
Tuonyeshe maendeleo yanavyofanyika, acha kuzungumzia "theory za cooked figure, GDP lazima ionekane inachokifanya, otherwise endeleeni kuimba GDP sisi tunafanya mambo "on the ground"
 
Wewe hua haueleweki Ni mtz au mkenya ,pili unaongea vitu vingi chenga chenga tu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Huku ni kujifariji ndugu,100bln economy inakua kwa 6% huku 55bln economy inakuwa kwa 7%
Hivi mko xiriac kweli nyie ldc,mtakimbiza mwizi hadi mfe njiani bila kumkamata
Acha ujinga wewe, onyesha hiyo $100B inafanya nini on the ground, au ipo kwa ajili ya kuitazama?. Sisi tumekutajia miradi mikubwa mitatu inayofanya na GDP yetu, wewe tuambia mradi mmoja pekee unaofanywa na hiyo $100B wenye thamani ya $1B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…